Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muhuni.wewe uliyefikiria.majambazi uliisha bali ulikuwa hautangazwi.hahah. wewe pia hukuruhusiwa kutangaza Jf? acha uhuni wew
Acha umbea wanaume wenzio wanatafuta hela sio kushindana na wanawake JFkwahiyo hata jf mlishindwa kuriport!!!
unafiki na mtoto wa kike havipendezi.
Huyu ni mtoto wa mwisho wa hayati, ni Yatima anayeamini kwamba kipindi cha Jiwe kulikuwa hakuna tukio la mauaji Wala ujambazi,yameanza baada ya hayati kukata kamba.We don't know what you mean in this thread. I mean we don't know what you talking about! Just tuambie reason ya kumshirikisha raisi Samia na hilo tukio la ujambazi wa mbezi beach.
Mkuu waache......Watu walishaanza kusahau haya mambo.
Hiyo ni ndani ya miezi miwili albino, ujambazi na mifumo vurugu mechi serikalini.
Like I always wananchi wasioingia mitandaoni ndio waamuzi wa mwisho.
Bali yupo Samia .Rais wetu good gooo mama. Enzi za mwendazake zimepita lazima maisha yaendelee.Siku nyingine CCM mpate akili ya kuweka makamu wa rais.Mlijua ni ceremonial position.Muda Utaongea tu.
Endelea kushupaza shingo.
Hapa hatuna kiongoz
Ww ushuzi kweli wwBali yupo Samia .Rais wetu good gooo mama .Enzi za mwendazake zimepita lazima maisha yaendelee.Siku nyingine CCM mpate akili ya kuweka makamu wa rais.Mlijua ni ceremonial position.Sasa kawa rais bila kura.Wamama oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.Safari hii wanaume mtaenda labor msipotafuta hela.Kazi kulilia mwanaume mwenzenu.Kaza msuli
Sana na tunakuongoza pamoja na ushenzi wote.Bado unachungulia ulikotoka kwa huyo mwanamke.Nacheka kifala ujueWw ushuzi kweli ww
Yaani naona elimu ya bank bado kabisa.Milioni 8 ama 10?
Jambo la pili, kuhamisha pesa kiasi chochote kutoka bank moja hadi nyingine ni elfu kumi tu.
Usitembee na pesa zote hizo unahatarisha maisha yako kwa gharama ndogo sana ya elfu 10 tu.
Sasa jamaa anachukua 8M bank moja anaenda nayo bank nyingine badala ahamishw kwa only 10k tu.
Nasikia Mboyee yuko Mahututi tena Chemistry ya Astra zeneca imegoma muda si mrefu parapanda la Mboye katili jizi na tapeli la HIHuyu ni mtoto wa mwisho wa hayati, ni Yatima anayeamini kwamba kipindi cha Jiwe kulikuwa hakuna tukio la mauaji Wala ujambazi,yameanza baada ya hayati kukata kamba.
Wala.hakuna cha JPM .wewe ukachukue 10m bank cash unawazimu kwa nini usifanye bank transfer ni 10,000 tu u wape polisi shidaMkuu waache......
JPM lazima akumbukwe tulishasahau haya mambo.....
Yaan had wanashangaza kwa kweliNaona watu wamejipa nafasi ya kunenea ya wenzao ilhali yao hawayajui
Woiiiiiiiiih, wee babuuuh wee [emoji23][emoji23][emoji23] haya bhana.Nisamehe kama nimekukwaza mupenzi... Si unajuaga vile nakupendaga japo umesusa kujibu PM zangu?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] lolAcha umbea wanaume wenzio wanatafuta hela sio kushindana na wanawake JF
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bali yupo Samia .Rais wetu good gooo mama .Enzi za mwendazake zimepita lazima maisha yaendelee.Siku nyingine CCM mpate akili ya kuweka makamu wa rais.Mlijua ni ceremonial position.Sasa kawa rais bila kura.Wamama oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.Safari hii wanaume mtaenda labor msipotafuta hela.Kazi kulilia mwanaume mwenzenu.Kaza msuli