Mbusuu
Member
- May 21, 2021
- 40
- 40
aisee huyu aliyeta hii habari ni ripota wa Jamii forum?Kuna mtu alikuambia mimi ni ripota wa JamiiForums?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aisee huyu aliyeta hii habari ni ripota wa Jamii forum?Kuna mtu alikuambia mimi ni ripota wa JamiiForums?
Hawa watu si walikuwa humo humo na rais huyo?Ni ujinga wa hali ya juu kwa kufariki mtu mmoja, serikali nzima inapoteza muelekeo. Igp ni yuleyule, na karibu kila nafasi inaendeshwa na watu wale wale, aliyefariki ni rais, inakuwa aje mambo ya kijinga yanaanza kuibuka kila upande?
Matatizo ya kuthamini mtu badala ya mfumo.
Mimi sijui, wewe unajua?aisee huyu aliyeta hii habari ni ripota wa Jamii forum?
sawae mzee babuMimi sijui, wewe unajua?
Banker hawezi uza ramani ya four m wakati kuna mamia ya m yanayotoka katika bank husikaKuna banker kauza ramani.
Kumwambia mtu "kamfuate huko marehemu" ni dhihaka kubwa kuutolewa na mtu mwenye upeo mkubwa kama wewe...Tuliza mshono boss,,kwenye jukwaa la mapenzi nina haki ya kuchangia kutokana na mada inayojadiliwa na hata kwenye siasa vile vile. This is too low kutoka kwako ,so kuleta hapa comment yangu kutoka kwenye jukwaa la mahusiano inakusaidia nini wewe? Magufuli is dead and you should accept that .
Duuuh kumbe mtu wa njombe, jamani khaaaah.Mkinga
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbee wew babuuh ni muuaji?Mimi mwenyewe nimeua wanne na sijaona aliyetangaza...
Yaan wee acha tyuuhSi mwenyewe raisi alisema ataweka mazingira mazuri kwa wawekezaji? Wawekezaji ndo wameanza kazi zao sasa... huyu Mama aliingia na gear mbaya sana , na itamcost, c alikua anajifanya anaruhusu kila kitu , leo Tz nzima inamlilia magufuli , hata waliomchukia wameanza kumkumbuka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama yupo buzzy, kuzurura na kubadili nguo mara 3 kwa siku. Mwanamke usafi.Mama nchi ishamshinda akalee mume tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muache aendelee kujishaua na kikwete wake , tutawakomesha 2025
JPM huyu huyu aliyeshindwa kuajiri kama kikwete?,akiyeiba kura?,aliyeshindwa kuipandisha GDP?,aliekopa Trillioni 20 kwa miaka mitano tu?mkuu tutaona na kusikia mengi tu. nchi hii kuiongoza s rahisi kama watu wanavyofikiria. JPM aliiweza vizr.
Yaani ndio unaona jinsi tulivyooza kimaadili. Mpaka tusimamiwe kama watoto wadogo.Hawa watu si walikuwa humo humo na rais huyo?
Hata kama hapakuwa na mfumo, kwani hawawezi kugezea tu waliyokuwa wanafanya mazuri ili yaendelee bila huyo mtu mmoja kuwepo?
Ujambazi na hata Ajali kama zilikuwepo ni kwa sehemu ndogo mno, Tochi za barabarani na semina za madereva zimesaidia sanaTutakumbuka mengi sana
Alisema mengi na kufanya bila woga
Hili la mauwaji alikomesha kwa kiasi kikubwa sana
Nani anapaswa kumwajibisha Siro????Kwa nini Mama alaumiwe?
Je, ni kweli kwamba Mama ameagiza Polisi waache kushughulika na UHALIFU na WAHALIFU?
Au, Kamanda Siro na timu yake wameamua kuachia UHALIFU NA WAHALIFU ili Mama Mh. Samia Suluhu Hasan "ALAUMIWE"
LAWAMA ZIELEKEZWE KWA KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
WA KUWAJIBIKA NA AU KUWAJIBISHWA NI KAMANDA SIRO NA TIMU YAKE.
Ni muda unepita toka nimesikia matukio haya. Enzi za kikwete.Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.
Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.
Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.