barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Sitashangaa kibiti ikirudi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa naanza kuona umuhimu wa Mzee wetu JPM, [emoji848][emoji848][emoji2960]
Kwani ujambazi ni nini? Tafuta kamusiMajambazi wanawezavizia 2m?
Wachache tunaelewa ulichoandikaKwani kuna tatizo gani akiwaponda wote??
Wewe ndio mjinga na huja yoyote yenye mashiko.
Wamepanga majambazi sio kila kifo kinatoka kwa mwenyezi MUNGUKilled for his own money. Ila Alipangiwa atakufa hivyo.
Hiyo ela alikua anaenda kumlipa mwenye nyumba milioni 3 na milioni 1 ilikua ya mkewe ambae ni mjamzito,aliekua anajua kuhusu hilo ni yeye na mkeweMkuu Sio kazima Awe Banker wajumuishe pia Marafiki zake ...Kama Kuna Biashara kafanya au Kuna Mtu alikuwa anafanya nae au Alienda Kuchukua Hela ili amlipe Mtu fulani ili apate kitu fulani, haya Mambo wanatokanayo Mbali Mkuu...Inawezekana Jamaa walikuwa wanamfuatilia tangu anaingia bank? Hakuna anaejua!Tangu huko alipotoka! Au Mtu wa Mwisho Kuwasiliana nae nk nk!
MUNGU atusaidie haya Mambo
Duuuh bora angetembea na bajaji hadi kwake, jamani mmmhHiyo ela alikua anaenda kumlipa mwenye nyumba milioni 3 na milioni 1 ilikua ya mkewe ambae ni mjamzito,aliekua anajua kuhusu hilo ni yeye na mkewe
Na hao majambazi wametoka nae hapo nmb afrikana as alichukua bajaj alipotoka hapo nmb akashuka juliana from there akaona atembee kwa mguu na ndo hapo wakamvamia na wakampora kisha wakamuua
Ni ujinga wa hali ya juu kwa kufariki mtu mmoja, serikali nzima inapoteza muelekeo. Igp ni yuleyule, na karibu kila nafasi inaendeshwa na watu wale wale, aliyefariki ni rais, inakuwa aje mambo ya kijinga yanaanza kuibuka kila upande?
Matatizo ya kuthamini mtu badala ya mfumo.
Dah....naunga mkono.....tuzidi kumpa muda....,[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha uongo,Kuna matukio yalikuwa hayaripotiwi wakati ile kenge ikiwa haiRIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Hawa watu si walikuwa humo humo na rais huyo?
Hata kama hapakuwa na mfumo, kwani hawawezi kugezea tu waliyokuwa wanafanya mazuri ili yaendelee bila huyo mtu mmoja kuwepo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama yupo buzzy, kuzurura na kubadili nguo mara 3 kwa siku. Mwanamke usafi.
Ndo hivyo mtu hategemei kuna mtu angejua ye ana 4m,na pia kwake na juliana ni karibu mno ndo mana akaona amruhusu bajaj ye atembee tu kwa mguuDuuuh bora angetembea na bajaji hadi kwake, jamani mmmh
Mama Samia inafaa kuhusu ujambazi awe mkaliiii mkaliiii kaliiiiii mkaliiiiiiiiiiiiii kaliiiiiiiiiiiiiiiiii na Jeshi la polisi RPC apangue haraka sana ili awape amri haraka sana za kuwa ikiwa ujambazi utatoke mkoa wako, kazi RPC huna, na huo ndio mkataba wako, full stop
Huenda jamaa alitumiwa majambazi kumuua na kusingizia ni wizi. Mke wake abanweBanker hawezi uza ramani ya four m wakati kuna mamia ya m yanayotoka katika bank husika
Hivi Tanzania hii ambayo hata shuleni watoto hufundishwa na mwalimu mwenye fimbo kwapani ukubwani watasikiliza nyimbo za taarabu kweli?, Sio rahisi kuongoza jamii ya watu wabishi kwa kuwabembeleza kwa maneno matamu. Tuliomba Rais dikteta tukapata, sasa tuombe Jeshi lishike hatamu.That’s what I’m talking about , hatumchukii Mama ila tunachukia uongozi wake, speech zake zimearibu kila kitu , hii nchi haitaki maneno matamu, Mama asilazimishe kufanya mambo hili apendwe.
Hii nchi usipokua mwendawazimu kama magufuli, hakuna tutakapoenda, Nina mashaka kama mama atamaliza hiyo miaka minne, tumeshachoka, watu tumeshazoea mikiki mikiki bhana, mama ana mdomo sana vitendo zz
Ujambazi na hata Ajali kama zilikuwepo ni kwa sehemu ndogo mno, Tochi za barabarani na semina za madereva zimesaidia sana
Hivi unaanzaje kwenda kutoa 4M benki wakati ungeweza kuzisambaza kwa simu huko unakotakiwa kuzituma? ... Pesa kila mtu anazitaka, kuziweka kwenye viroba na kutembea nazo mitaani ni kujitafutia kifo, isitoshe Polisi wanatoa huduma kwa mtu anayechukua lundo la mihela... Huyu jamaa sijui ilikuwaje.Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa, wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja, gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.