Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Kwani kuna tatizo gani akiwaponda wote??
Wewe ndio mjinga na huja yoyote yenye mashiko.
Wachache tunaelewa ulichoandika
Watu wanalazimisha A na B ziwe complementary kitu ambacho sio!
 
Mkuu Sio kazima Awe Banker wajumuishe pia Marafiki zake ...Kama Kuna Biashara kafanya au Kuna Mtu alikuwa anafanya nae au Alienda Kuchukua Hela ili amlipe Mtu fulani ili apate kitu fulani, haya Mambo wanatokanayo Mbali Mkuu...Inawezekana Jamaa walikuwa wanamfuatilia tangu anaingia bank? Hakuna anaejua!Tangu huko alipotoka! Au Mtu wa Mwisho Kuwasiliana nae nk nk!
MUNGU atusaidie haya Mambo
Hiyo ela alikua anaenda kumlipa mwenye nyumba milioni 3 na milioni 1 ilikua ya mkewe ambae ni mjamzito,aliekua anajua kuhusu hilo ni yeye na mkewe
Na hao majambazi wametoka nae hapo nmb afrikana as alichukua bajaj alipotoka hapo nmb akashuka juliana from there akaona atembee kwa mguu na ndo hapo wakamvamia na wakampora kisha wakamuua
 
Hiyo ela alikua anaenda kumlipa mwenye nyumba milioni 3 na milioni 1 ilikua ya mkewe ambae ni mjamzito,aliekua anajua kuhusu hilo ni yeye na mkewe
Na hao majambazi wametoka nae hapo nmb afrikana as alichukua bajaj alipotoka hapo nmb akashuka juliana from there akaona atembee kwa mguu na ndo hapo wakamvamia na wakampora kisha wakamuua
Duuuh bora angetembea na bajaji hadi kwake, jamani mmmh
 
Ni ujinga wa hali ya juu kwa kufariki mtu mmoja, serikali nzima inapoteza muelekeo. Igp ni yuleyule, na karibu kila nafasi inaendeshwa na watu wale wale, aliyefariki ni rais, inakuwa aje mambo ya kijinga yanaanza kuibuka kila upande?
Matatizo ya kuthamini mtu badala ya mfumo.

Magufuli ni mfano wa raisi bora , hii nchi ina mamillion ya watu Lakini yule Baba alijua kuwathibiti, magu jembe bwana , tukubali tu kila siku ataendelea kuwa mioyoni mwenu
 
Hawa watu si walikuwa humo humo na rais huyo?

Hata kama hapakuwa na mfumo, kwani hawawezi kugezea tu waliyokuwa wanafanya mazuri ili yaendelee bila huyo mtu mmoja kuwepo?

Yule baba alitumwa na Mungu , alikua na karama ya uongozi ya kutisha, aliniboaga tu kutuzimia Internet na ule ushindi wa kishindo 2020[emoji23], ila ki ukweli ana mazuri mengi sana ya kukumbukwa.

Ndio maana Kila Siku alikua anaimba mtanikumbuka Coz alijua kazi aliyokua anaifanya hakuna wa kuweza kuifanya, viongozi wengi ni waoga mno na wapenda kujipendekeza magu hakua na shobo za hovyo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mama yupo buzzy, kuzurura na kubadili nguo mara 3 kwa siku. Mwanamke usafi.

Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
 
Duuuh bora angetembea na bajaji hadi kwake, jamani mmmh
Ndo hivyo mtu hategemei kuna mtu angejua ye ana 4m,na pia kwake na juliana ni karibu mno ndo mana akaona amruhusu bajaj ye atembee tu kwa mguu
Inawezekana kabisa majambazi yalipewa mchongo kutokea benki
 
Mama Samia inafaa kuhusu ujambazi awe mkaliiii mkaliiii kaliiiiii mkaliiiiiiiiiiiiii kaliiiiiiiiiiiiiiiiii na Jeshi la polisi RPC apangue haraka sana ili awape amri haraka sana za kuwa ikiwa ujambazi utatoke mkoa wako, kazi RPC huna, na huo ndio mkataba wako, full stop

That’s what I’m talking about , hatumchukii Mama ila tunachukia uongozi wake, speech zake zimearibu kila kitu , hii nchi haitaki maneno matamu, Mama asilazimishe kufanya mambo hili apendwe.

Hii nchi usipokua mwendawazimu kama magufuli, hakuna tutakapoenda, Nina mashaka kama mama atamaliza hiyo miaka minne, tumeshachoka, watu tumeshazoea mikiki mikiki bhana, mama ana mdomo sana vitendo zero
 
Tabia hii ya uporaji wa aina hii ilishamiri sana enzi za Kikwete, tangu Kikwete aanze kuoneka kwenye meza kuu, meza ya maamuzi, mdogo mdogo tunarudi nyuma ..... kabla hata mwaka huu kwisha, tutakuwa na mchanganyiko wa awamu zote tatu, ikiwemo ya Mzee Ruksa.🥱
 
Watu hawajaniuliza tu huyu mhanga aliuliwa tu maksudi na hao wauaji wakataka kuonesha eti naliuliwa kwasababu walikuw wanampora hela.
 
That’s what I’m talking about , hatumchukii Mama ila tunachukia uongozi wake, speech zake zimearibu kila kitu , hii nchi haitaki maneno matamu, Mama asilazimishe kufanya mambo hili apendwe.

Hii nchi usipokua mwendawazimu kama magufuli, hakuna tutakapoenda, Nina mashaka kama mama atamaliza hiyo miaka minne, tumeshachoka, watu tumeshazoea mikiki mikiki bhana, mama ana mdomo sana vitendo zz
Hivi Tanzania hii ambayo hata shuleni watoto hufundishwa na mwalimu mwenye fimbo kwapani ukubwani watasikiliza nyimbo za taarabu kweli?, Sio rahisi kuongoza jamii ya watu wabishi kwa kuwabembeleza kwa maneno matamu. Tuliomba Rais dikteta tukapata, sasa tuombe Jeshi lishike hatamu.
 
Ujambazi na hata Ajali kama zilikuwepo ni kwa sehemu ndogo mno, Tochi za barabarani na semina za madereva zimesaidia sana

Kweli mkuu yale mabasi yaliokuwa yanauwa sana yalipungua sana
Na hata familia zilikuwa zinajiachia na kusafiri usiku kwa amani sana bila ujambazi
Mbinu na udhibiti ulipatikana ila sasa zinarudi kwa kasi sana na wanaofanya haya haihitaji Rocket science kutambua hilo
 
Dawa yao ni kuwapa wale vyuma tu....Halafu katika zama hizi bado watu wanashindwa kutumia technology kufanya manunuzi? Haina haja ya kwenda bank kuchukua mzigo mkubwa, wa nini? Kama unaenda kununua kiwanja, gari or malipo yeyote si unafanya bank transfer? Kama vimilioni viwili au vitatu si unatransfer tu kwenda kwenye mobile? Usiangalie gharama jali uhai.
Hivi unaanzaje kwenda kutoa 4M benki wakati ungeweza kuzisambaza kwa simu huko unakotakiwa kuzituma? ... Pesa kila mtu anazitaka, kuziweka kwenye viroba na kutembea nazo mitaani ni kujitafutia kifo, isitoshe Polisi wanatoa huduma kwa mtu anayechukua lundo la mihela... Huyu jamaa sijui ilikuwaje.
 
Back
Top Bottom