Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi binamu wee ni chizi? Khaaaah
 
Ndo hivyo mtu hategemei kuna mtu angejua ye ana 4m,na pia kwake na juliana ni karibu mno ndo mana akaona amruhusu bajaj ye atembee tu kwa mguu
Inawezekana kabisa majambazi yalipewa mchongo kutokea benki
Kwa muenendo huo, bankers na tellers wanahusika hapa.
 
Nawaza kwa nini sikuwah kumuona na umalaya wangu , wanaume wote wa Africana nshawamaliza huyu Sijui alikua anashinda wap[emoji23][emoji23]
Yaan nlivoona picha yake, hadi nikawaza pindi anamla mkewe, wallah mie km huyu, usiku mzima anankula, maan nikimuangalia tyuuh chini kunanyevua kutaka msokomezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaan nlivoona picha yake, hadi nikawaza pindi anamla mkewe, wallah mie km huyu, usiku mzima anankula, maan nikimuangalia tyuuh chini kunanyevua kutaka msokomezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
mbona wapo wengi sana.. Slowly kwani hakushughulikii vizuri 😳
 
“Huenda kuna mazuri atafanya” kumbe hadi wewe umeona kuwa Mama hadi sasa bado anademka tu hakuna anachokifanya. Kwa nafasi ya juu aliyokua nayo mama before kuwa raisi , hatukutegemea afanye anayoyafanya.

Wananchi sio wajinga, hivi hujagundua watu Siku hizi hawana mzuka kabisa na raisi , vile vigere gere na shangwe zote zimeisha, watu hawamuelewi Mama , Mama haeleweki,Mama hana msimamo, Mama haaminiki, Mama hana maamuzi ya kueleweka.

Bora magufuli tulimjua ni dictator, mwendawazimu ila Mama bado haeleweki mpaka sasa hivi , anapenda sana kulaghai watu na maneno matamu, kuna katabia anakaficha.
Eeenhee Heee!

Mkuu wangu 'warumi', sipendi nianze kuonekana kuwa mtu asiyekuwa na msimamo. Ninajiamini sana kwamba ninao uelewa wa kujua na kuamua ninayotamani Tanzania yetu iyapate.

Magufuli sikumpenda kabisa kabisa, na sitameza maneno yangu juu yake, kwa sababu tu ya ubaya wa huyu aliyemrithi, ambaye pia nimeanza kupoteza matumaini yangu kwake kutokana na hayo uliyoyataja hapo juu.

Nilipenda baadhi ya aliyofanya/simamia Magufuli, hata kama baadhi ya hayo mazuri aliyafanya kwa kutumia njia mbovu pia. Lakini kutokana na yele mabaya yake yaliyofuta kabisa hisia zangu kwake, atabaki kuwa ni kiongozi mbovu kabisa ambaye hatukustahili kuwa naye kwenye taifa hili.

Ningependa huyu mama ayachukue hayo mazuri ya Magufuli, ayaendeleze kwa umakini mkubwa, huku akiachana kabisa na kuvuruga haki na uhuru wa watu. Afuate katiba na sheria zilizopo.

Lakini naona mama hayupo tayari. Hajui aanzie wapi, na sidhani kuwa anataka Tanzania yetu iende wapi!

Tunu yake ya mwanzo kabisa, UPOLE, itakuwa ni hasara kubwa kwake na kwetu sote.

Nasubiri kwa hofu kubwa kusikia matokeo ya ziara yake aliyopewa mwaliko, bila shaka ile 'Joint Co-ordinating Commision' iko kazini na hatihati ya kutoa makubaliano yao! Sijui kama tutarudishwa tena enzi za kuliwa, kama tulizoshuhudia enzi za Kikwete.

Nina wasiwasi mkubwa juu ya mama atakakotupeleka!
 
Hiyo ela alikua anaenda kumlipa mwenye nyumba milioni 3 na milioni 1 ilikua ya mkewe ambae ni mjamzito,aliekua anajua kuhusu hilo ni yeye na mkewe
Na hao majambazi wametoka nae hapo nmb afrikana as alichukua bajaj alipotoka hapo nmb akashuka juliana from there akaona atembee kwa mguu na ndo hapo wakamvamia na wakampora kisha wakamuua

Ndio swala la kufunga CCTV camera lilivyo la umuhimu.

Serikali inabidi iwekeze kwenye ufungaji wa kamera ili ku monitor jiji lote la DSM......Chicago yote imefungwa camera.

CHICAGO.jpg


CN.jpg

 
Kwa Mama Hapana , Mama atatuaribu, Mama ana Malezi mabaya...

Hivi umegundua wananchi hawana shobo kabisa na Mama ? , mama anaonekana mpole na mkarimu, ila ana dharau sana na kiburi cha hali ya juu
Haya ya "DHARAU na KIBURI" nilikuwa sijayaweka maanani, sasa unanifanya niyatizame kwa uangalifu mkubwa juu yake.

Lakini, kuna mtu aliyekuwa na KIBURI, DHARAU na KUPENDA SIFA zaidi ya marehemu Magufuli? Yeye anakudharau na kukuaibisha hapo hapo mbele yako na wote waliopo hapo.

Haya matatizo yote yanatokana na viongozi kuwa kama ndio wanaowaamuru na kuwachunga wananchi. Wanawafanya kama mali zao, kwa hiyo wanaweza kufanya lolote watakalo bila kuwajibishwa na yeyote. Uongozi wao ni kama wanawafanyia wananchi wao fadhira.

Hili ndilo tatizo letu kubwa.
 
Yaan nlivoona picha yake, hadi nikawaza pindi anamla mkewe, wallah mie km huyu, usiku mzima anankula, maan nikimuangalia tyuuh chini kunanyevua kutaka msokomezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
yani unatamani kuliwa na mwanaume mwenzio. JF mods please tusafishieni hawa mashoga humu ndani wanainajisi hii Forum
 
NILISHAWAHI KUKUTANA NA MZIKI WA MAJAMBAZI,KITAMBO SANA
ILIKUWA DODOMA BARABARA YA KUELEKEA ARUSHA UNAPITA PORI LA MTUNGUTU
ENZI HIZO LAMI HAKUNA VUMBI TU
SEMA MWENYEJI WANGU NLIPOKUWA NAENDA ALINIPANGA KABISA,KUWA NJIA ILE SIYO KUNA AMBUSH ,SASA KWA SABABU MM KAMANDA NLITEMBEA SANA NA NAJUA KUKABILIANA NA HALI ZA HATARI NLICHOFANYA KWENYE SITI YA BASI NLITANUA NLIWEKA HELA,NLIPIGA DOCHO
ILA MFUKONI MWANGU NKAWEKA 18,000/
SAFARI IKAANZA KATIKATI BASI LILIPIGWA AMBUSH WATU TUKASHUSHWA,TUKASACHIWA
UKIKUTWA NA HELA WANAKWALA,NLIULIZWA TU UNAELEKEA WAPI NKAJIBU NAKWENDA SALIMIA JAMAA KONDOA !WAKANIULIZA UNAFANYA BIASHARA YA UFUTA NKAJIBU HAPANA
KUNA JAMAA 2 NA MWANAMKE MMOJA WALIKUWA WAKAIDI AISE WALIKULA KICHAPO SANA,HAO MAJAMBAZI SURA WALIFICHA NA WAKATI WANAFANYA UPORAJI WALIKUWA NA WENGE YAANI HARAKA

MAJAMBAZI WE WASIKIE TU ILA IKIKUKUTA NI SHIDA

OVA
 
Lile basi tuliyolipanda nakumbuka jina lake ilikuwa inaitwa super sonic

Ova
 
Afande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.

Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.

Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.

Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.
Kabla hata hajafikishwa hosp picha yake ilishatundikwa mitandaoni. Tanzania tuko juu
 
Jamaa ina maana alivyotaka kuporwa aliwaletea ubishi au!bora angewaachia tu wachukue hela
Alinde uhai wake tu

Ukikutana na hali kama hiyo na washakupiga tanchi bora uwaachie tu mpunga
Ila kama uko vizuri na unaweza deal nao
Basi pambana,ila inategemea na timing sasa

Ova
 
Back
Top Bottom