King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Labda alikuwa na mgao kwenye fungu hilo.
Alienda kudeposit NMB after ku draw 8m kwenye bank nyingine.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Labda alikuwa na mgao kwenye fungu hilo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi binamu wee ni chizi? KhaaaahMwanamke usafi, uongozi achia akina JK , mama yuko busy kushona nguo za ku mechisha had December [emoji23][emoji23], na ushungi wake utadhan fuko la bangi , na Sijui anafichaga nn kwenye hilo shungi usije kura ana nyoka kama yule mudusa[emoji23]
Kwa muenendo huo, bankers na tellers wanahusika hapa.Ndo hivyo mtu hategemei kuna mtu angejua ye ana 4m,na pia kwake na juliana ni karibu mno ndo mana akaona amruhusu bajaj ye atembee tu kwa mguu
Inawezekana kabisa majambazi yalipewa mchongo kutokea benki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huu uhuru mama aliotupa utamcost[emoji23], tunademka sana[emoji16]
Ila mkaka mzuri huyu, hadi mwili unasisimka jamanAlale pema peponiView attachment 1795298
Ila mkaka mzuri huyu, hadi mwili unasisimka jaman
Ndo marehem tenaIla mkaka mzuri huyu, hadi mwili unasisimka jaman
Ila mkaka mzuri huyu, hadi mwili unasisimka jaman
Yaan nlivoona picha yake, hadi nikawaza pindi anamla mkewe, wallah mie km huyu, usiku mzima anankula, maan nikimuangalia tyuuh chini kunanyevua kutaka msokomezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nawaza kwa nini sikuwah kumuona na umalaya wangu , wanaume wote wa Africana nshawamaliza huyu Sijui alikua anashinda wap[emoji23][emoji23]
Aseeh ardhi imemeza handsome wa watu, maskiniih!!Ndo marehem tena
Kaacha mjane na watoto 2 watatu akiwa bado tumboni
Dah! tumuombe Mungu aliepushie mbali.. kama isingekuwa roho ngumu ya marehemu Magu, ugaidi ungekuwa ushatia maguu Tanzania.Sitashangaa kibiti ikirudi.
mbona wapo wengi sana.. Slowly kwani hakushughulikii vizuri 😳Yaan nlivoona picha yake, hadi nikawaza pindi anamla mkewe, wallah mie km huyu, usiku mzima anankula, maan nikimuangalia tyuuh chini kunanyevua kutaka msokomezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eeenhee Heee!“Huenda kuna mazuri atafanya” kumbe hadi wewe umeona kuwa Mama hadi sasa bado anademka tu hakuna anachokifanya. Kwa nafasi ya juu aliyokua nayo mama before kuwa raisi , hatukutegemea afanye anayoyafanya.
Wananchi sio wajinga, hivi hujagundua watu Siku hizi hawana mzuka kabisa na raisi , vile vigere gere na shangwe zote zimeisha, watu hawamuelewi Mama , Mama haeleweki,Mama hana msimamo, Mama haaminiki, Mama hana maamuzi ya kueleweka.
Bora magufuli tulimjua ni dictator, mwendawazimu ila Mama bado haeleweki mpaka sasa hivi , anapenda sana kulaghai watu na maneno matamu, kuna katabia anakaficha.
Hiyo ela alikua anaenda kumlipa mwenye nyumba milioni 3 na milioni 1 ilikua ya mkewe ambae ni mjamzito,aliekua anajua kuhusu hilo ni yeye na mkewe
Na hao majambazi wametoka nae hapo nmb afrikana as alichukua bajaj alipotoka hapo nmb akashuka juliana from there akaona atembee kwa mguu na ndo hapo wakamvamia na wakampora kisha wakamuua
Amelewa sifa..Mama akija kushituka, itakuwa teyari too late wacha aendelee kuwakumbatia.
Haya ya "DHARAU na KIBURI" nilikuwa sijayaweka maanani, sasa unanifanya niyatizame kwa uangalifu mkubwa juu yake.Kwa Mama Hapana , Mama atatuaribu, Mama ana Malezi mabaya...
Hivi umegundua wananchi hawana shobo kabisa na Mama ? , mama anaonekana mpole na mkarimu, ila ana dharau sana na kiburi cha hali ya juu
yani unatamani kuliwa na mwanaume mwenzio. JF mods please tusafishieni hawa mashoga humu ndani wanainajisi hii ForumYaan nlivoona picha yake, hadi nikawaza pindi anamla mkewe, wallah mie km huyu, usiku mzima anankula, maan nikimuangalia tyuuh chini kunanyevua kutaka msokomezo, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kabla hata hajafikishwa hosp picha yake ilishatundikwa mitandaoni. Tanzania tuko juuAfande sina cha kueleza, taarifa zinajitosheleza hapa chini!
View attachment 1792209
Tukio la kusikitisha limetokea leo mchana maeneo ya Juliana Mbezi beach ambapo Jimson Kibiki amefariki baada ya kupigwa risasi.
Kutokana na vyanzo vya mashuhuda Jimson alivamiwa alipokuwa ametoka bank na kuporwa na majambazi kiasi cha fedha ambacho mpaka sasa hakijajulikana.
Baada ya kupigwa risasi alipatiwa huduma ya kwanza na kusaidiwa kufika kituo cha afya lakini baada ya kufika hospital akapoteza maisha.
Jeshi la polisi bado linaendelea na uchunguzi na tutaendelea kukujuza kila kinachoendelea.