Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

Mbezi beach, Dar: Jimson Kibiki, apigwa risasi na Majambazi wakati akitoka benki kuchukua hela, wamnyang'anya Mil 4

yani unatamani kuliwa na mwanaume mwenzio. JF mods please tusafishieni hawa mashoga humu ndani wanainajisi hii Forum
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee vipi mbna povu? Huna mvuto wa kupendwa, hebu nipishe huko msieeeeew.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee vipi mbna povu? Huna mvuto wa kupendwa, hebu nipishe huko msieeeeew.
sihitaji kupendwa na mwanaume mwenzangu. mods tuondoleeni huu uchafu, kwanini muwachekelee watu kama hawa
 
Hao mateller wote waliokuwepo ndani muda huo wakamtwe kwa ajili ya mahojiano, zitumike pliers na bisibisi wakati wa mahojiano, watasema tu, na simu zao wote zikagukiwe waliongea na nani kuanzia siku kadhaa nyuma hadi siku ya tukio.

Nimefikiria labda inaweza kuwa ni zaidi ya ujambazi
 
Dawa ya Majambazi ni kukamatwa na kupigwa marisasi live uwanja wa taifa mbele ya watu wote hapo ndio mwisho wa ujambazi na somo kwa wengine.Ndivyo walivofanya Ruanda kukomesha majambazi.
 
Hapa kuna tatizo jeshi la polisi kwasababu ni polisi hawahawa chini ya IGP yuleyule walitokomeza ujambazi kipindi cha Mwendazake, na ni polisi hawahawa na IGP huyohuyo wanashindwa kutumia mbinu zilezile walizotumia wakati wa Mwendazake katika kudhibiti uhalifu wakati wa Samia

Bila shaka kuna hiden agenda behind the scene

Mama Samia tafuta IGP anayeweza kudundika na midundo yako
Ukinizungua Tutazinguana hii kauli SSH inafaa airudie kila wakati na hao majambazi inawafaa hii Slogan.
 
Hii ndio dawa pekee ya kumaliza ujambazi...Wakila vyuma sana wenyewe wataacha.

CHUMA.jpg
 
Going too soon son.

Umeacha mke na malaika zako wawili mmoja yuko tumboni, tuseme nini sasa, Mungu sema wewe sisi tumenyamaza kimya.
 
Itachukuua.mdaa kusahauu hayamaumivu
MUNGU awe.mfariji
 
nchi sasa imefikia huko? hatuna tena uhuru wa kutoa pesa sehem tunayotaka? hiyo nchi au upumbavu, yaani mtu utoke bunju ukatoe pesa posta? tutaskia mengi sana kipindi hiki
Hata sisi wa Lindi tutoke Lindi tuje tutoe PESA posta,hatari Sana hii
 
Back
Top Bottom