Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee vipi mbna povu? Huna mvuto wa kupendwa, hebu nipishe huko msieeeeew.yani unatamani kuliwa na mwanaume mwenzio. JF mods please tusafishieni hawa mashoga humu ndani wanainajisi hii Forum
sihitaji kupendwa na mwanaume mwenzangu. mods tuondoleeni huu uchafu, kwanini muwachekelee watu kama hawa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee vipi mbna povu? Huna mvuto wa kupendwa, hebu nipishe huko msieeeeew.
Kwani Magufuli kaondoka na jeshi la polisi ?RIP anko tutakumiss sana tu haya mambo yalishaisha sasa yanaanza kurudi
Sabaya hakuwa jambazi ? Au kwa kuwa hakuja kupora kwenu ?Jamaa alikua mwamba, aliwachezea watu 60M na wote tukaufyata, sio majambazi wasomi au wanasiasa. Wote ni mwendo wa kuimba na kuabudu. Kmmk dah
Hao mateller wote waliokuwepo ndani muda huo wakamtwe kwa ajili ya mahojiano, zitumike pliers na bisibisi wakati wa mahojiano, watasema tu, na simu zao wote zikagukiwe waliongea na nani kuanzia siku kadhaa nyuma hadi siku ya tukio.
Utawala mpya, wamekuja kutest patients za Mama. Wangeturuhusu tu tuwaue sisi wenyewe hao majambazi.Miaka mitano iliyopita kiliwazuia nini hao uliowahita inside job? Kwann mara hii wamekuja kwa kasi?
Sikia wewe jambazi, hii si jazba bali ni ukweli tu.utawala wa sheria mkuu acha jazba
Ukinizungua Tutazinguana hii kauli SSH inafaa airudie kila wakati na hao majambazi inawafaa hii Slogan.Hapa kuna tatizo jeshi la polisi kwasababu ni polisi hawahawa chini ya IGP yuleyule walitokomeza ujambazi kipindi cha Mwendazake, na ni polisi hawahawa na IGP huyohuyo wanashindwa kutumia mbinu zilezile walizotumia wakati wa Mwendazake katika kudhibiti uhalifu wakati wa Samia
Bila shaka kuna hiden agenda behind the scene
Mama Samia tafuta IGP anayeweza kudundika na midundo yako
Ms.enge weweWalifanikiwa kukuuwa!?
au bado unaishi....?
ww ulipigwa vibao na kibaka unasingizia jambazi!!
kima kweli ww
Inaumaasanaa auntGoing too soon son.
Umeacha mke na malaika zako wawili mmoja yuko tumboni, tuseme nini sasa, Mungu sema wewe sisi tumenyamaza kimya.
Tena sanaInaumaasanaa aunt
Hata sisi wa Lindi tutoke Lindi tuje tutoe PESA posta,hatari Sana hiinchi sasa imefikia huko? hatuna tena uhuru wa kutoa pesa sehem tunayotaka? hiyo nchi au upumbavu, yaani mtu utoke bunju ukatoe pesa posta? tutaskia mengi sana kipindi hiki
Mama kasema wazi kabisa kuwa anaangalia namna ya kujaza mifuko yetu. Wa kuwahi tayari wameanza kujaxa mifuko yao kwa mbinu mbalimbali.Mama akija kushituka, itakuwa teyari too late wacha aendelee kuwakumbatia.
Tarehe 23 Mwezi 5 Bro ulimtakia mtu Alale Pepa Peponi.Alale pema peponiView attachment 1795298