Mbinu ya awali kujua kama unalea mtoto wako au wa mwanaume mwenzio

Sikupingi lakini unaona ulichosema hapo, kwamba katembea na ndugu yangu lakini mwisho wa siku mtoto wa kwako ukimuona tu utamjua

Just a point of information,DNA test inahaminika katika kubaini mtoto wa nani lakini mara nyingi results zake zinakuwa modified kwa sababu za kiusalama kati ya wazazi wa mtoto na mtoto pia.Kikubwa kama unaweza kulea mtoto fanya hivyo tu labda kama utapata changamoto ambazo zitakulazimu kufanya tofauti
 
Haya ni madhara hasi ya kusoma katika Shule za "Kayumba," inazalisha watu wenye very low IQ, with an extremely shallow and low-sighted mind, and the lowest thinking capacity below average.
Nashukuru Mungu sana kwamba janga hili la shule za Kayumba sikuwahi kukumbana nalo ktk maisha yangu ya hapa duniani.
 
Sasa si useme hapa na wewe, watu wavumbue wanachokitafuta
 
Just a point of information,DNA test inahaminika katika kubaini mtoto wa nani lakini mara nyingi results zake zinakuwa modified kwa sababu za kiusalama kati ya wazazi wa mtoto na mtoto pia.
Siyo kweli, labda ktk hizi nchi zetu za dunia ya tatu ambako Sayansi siyo dili Bali Siasa za ghilba na uongo ndio kila kitu.
 
Wazee wa zamani hawakumjua Mungu.Vijana wa leo tunamjua na kumsadiki hatutaki kulea watoto wa zinaa.
 
Sasa kayumba, na hio international or medium school, unayojisifia na kumshusha mwenzio sio kama ni jambo la msingi sana ndgu yangu...mitaa inaweza kukupa maarifa ambayo shule ilikataa....nafikiri ni vema ukaelewa si kila mtu anaweza afford kile wazazi wako walikupatia,yamkini hata hao wazazi wako hata awakusoma ila walijinyima usome tu....waheshimu watu wote elimu isikutenge
 
Sasa kayumba, na hio international or medium school, unayojisifia na kumshusha mwenzio sio kama ni jambo la msingi sana ndgu yangu...mitaa inaweza kukupa maarifa ambayo shule ilikataa....nafikiri ni vema ukaelewa si kila mtu anaweza afford kile wazazi wako walikupatia,yamkini hata hao wazazi wako hata awakusoma ila walijinyima usome tu....waheshimu watu wote elimu isikutenge
 
Chukua dushe weka hapo kwenye paji la mtoto, ila uwe na namba za wakodisha maturubai
 
Kibayolojia, wakati wa urutubishaji (fertilization) wa yai la mama ili kuunda chembe mtoto (zygote), baba huchangia vinasaba (DNA & RNA) halafu vilivyobakia hutoka kwa mama. Ndiyo maana uwezo wa mtoto ktk kupambanua mambo (wengi mnaita akili) wa mtoto hutoka kwa mama kwasabb intelligence is multifactorial.

Sasa, kila kitu kilichomo ndani ya mwili huoneshwa na maumbile ya nje ya mwili.

Mfano:-
1. Ukubwa wa moyo......sawa na ngumi.
2. Upana wa k ....sawa na midomo.
3. Upekee wa DNA ....huoneshwa na fingerprints.
4. Ukubwa wa kichwa cha dushe huoneshwa na kidole gumba.
5. N.k.

Kwahiyo ukitaka kujua kama mtoto aliyezaliwa na mkeo ni WA damu yako ama alichepuka linganisha michoro ya kiganjani kwa mtoto na ile ya kwako. Michoro hii ni kama ilivyo fingerprints, haifanani na ya mtu mwingine.

Mbinu hii imetumika na makungwi kwa karne na karne. Mtoto akizaliwa mabibi au makungwi huitwa kisha hufunua kiganja cha mkono na kuhitimisha kwa kusema "ni damu yetu" ama "siyo damu yetu"


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…