Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 4,675
- 6,428
Keyboard worries haisaidii kwa sasaMipango inasukwa vizuri na kete inachezwa vizuri sana...usidhani Lissu ni mjinga kila tukio ni mahesabu makali mbele.
Wewe subiri jinsi watu watakavyokamatwa kuelekea 29 oktoba 2026, then nchi italipuka bila kutegemewa.
Bado Mwamba atabaki kuwa Shujaa, historia yake hapa duniani haifanani na mtu.Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .
Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo
Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Kila mtu ana misimamo yake anayoiamini, muache asimamie kile anachokiamini. Hata kama akifa atakuwa katangulia wengine tutafuataLissu Mpumbavu kesi ilishaisha ile wakili wa nini tena sa hizi? Kwanza si alisema kesi anaongea mwenyewe hataki wakili?
Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .
Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo
Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
POROJOMipango inasukwa vizuri na kete inachezwa vizuri sana...usidhani Lissu ni mjinga kila tukio ni mahesabu makali mbele.
Wewe subiri jinsi watu watakavyokamatwa kuelekea 29 oktoba 2026, then nchi italipuka bila kutegemewa.
Lakini akifa kwa njaa si itakuwa ni HERI kwa wanaomuombea anyongwe kwa uhaini wake?POROJO
kete ingekuwa inasukumwa angekaa mwaka mzima korokoroni?
Kuna wakati lazima ukubali ushauri wewe watu wanakushauri wazo la kutokula sio zuri wewe unasema kete!
Hiyo kete ukikosa glucose mwilini kwa kutokula utaisukumaje?
Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.Chadema tafuteni mbinu yenye impact haswa Kwa mlioko nje sio Mwenyekiti .
Kwa mahasimu ambao wanatamni unyongwe ufe mbinu ya KUACHA kula haiwezi kuwatisha hata kidogo
Huu ni ushauri Kwa Chadema na Mwenyekiti Lissu
Mod usiunganishe uzi
Wanapanga mipango ya rufaa in case akakutwa na hatia.Lissu kesi ilishaisha ile wakili wa nini tena sa hizi? Kwanza si alisema kesi anaongea mwenyewe hataki wakili?
Yupo ndani ya mwaka mzima kwa sababu ya udhaifu wa mahakama na pia ile rufaa ya Jamhuri. Lissu Hana kosa kwa kuchelewa kwa kesi.POROJO
kete ingekuwa inasukumwa angekaa mwaka mzima korokoroni?
Kuna wakati lazima ukubali ushauri wewe watu wanakushauri wazo la kutokula sio zuri wewe unasema kete!
Hiyo kete ukikosa glucose mwilini kwa kutokula utaisukumaje?
Kwa hivyo Lissu ndio aliwaua?Ni kweli, kwanza akifa akiwa kwenye hunger strike kabla ya hukumu atawapunguzia kazi waliotaka kumnyonga.
Hata jamii itajuwa amekufa kwa njaa na itajuwa tu kuwa alijutia kauli zake zilizosababisha watu zaidi ya 590 kuuawa