Field Marshall 11
JF-Expert Member
- Nov 28, 2024
- 1,018
- 1,717
Kwa sababu anajua anadanganya, halafu anaji-feel guilty. Muuaji huyo.Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
1 vs 0
Hata mimi nilishaliona hili. Si tu kuhema, anaonekana ni mtu mwenye mashaka na wasiwasi mkubwa, hajiamini na hofu na woga mkuu umemfunika...Kwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Watu wake wa karibu wanadokeza kuwa ni amekata tamaa na kampeni tayari.Hata mimi nilishaliona hili. Si tu kuhema, anaonekana ni mtu mwenye mashaka na wasiwasi mkubwa, hajiamini na hofu na woga mkuu umemfunika...
Nitashangaa mno kama atafika mwisho wa mwezi huu akiwa kwenye hizi zinazoitwa "kampeni ya uchaguzi 2025..."
Mimi namwona huyoooooooooo, akikimbizwa hospitalini kuleeeeeee kwa wajomba zake Oman au Dubai iliko kampuni ya mjombae mkuu DP World..
Haya bhana, yetu macho na masikio na...
Ashuopazaye shingo, mara hiyo huvunjika...
'Kuleni kuku,Mayai mboga samaki maziwa' kuna hiyo nyimbo yake,wawe wanazipiga redioni,tuna watu wasiojali historiaUmenikumbusha Kila night mzee 😂 wangu alikua ana weka TAPE YAKE..
Ka kibwagizo .. BINADAMU SIKU IZIII WANA MATATIZO MENGIII...Kinaanza kinyamweziii kingiii.
Acha aheme si yuko hai? Huo ndio mwelekeo mzuriKwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Tuna ombea iwe hivyoKwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Kuhema mtu yeyote aliyetoka kutembea lazima ahemeKwa tunaofuatilia kampeni za mgombea wa ccm,kuna kitu nadhani wengi wetu tutakua tushakiona.
Mama Samia akiwa ananadi sera zake anaongea akiwa anahema sana.sina uhakika kama ndio ongea yake iko hivyo.
Naomba wahusika wampumzishe kidogo.
Very true'Kuleni kuku,Mayai mboga samaki maziwa' kuna hiyo nyimbo yake,wawe wanazipiga redioni,tuna watu wasiojali historia
Tofautisha Makongoro na Mwinamila, kwani walikuwa ni watu tofauti na vikundi vyao ni tofauti.Mzee Mwinamila kutoka Unyanyembe!kipaji kisichokumbukwa