Mbowe akiri kuukubali "mziki" wa Rais Samia, agomea wana-Chadema kuingia barabarani, asema ni mihemko

..Mazungumzo ya Mbowe yako hapo chini.

..maswali mengi yanayoulizwa hapa ameyajibu ktk mazungumzo yake, unaweza kumsikiliza.

 
harakati za upinzani ndani ya nchi tangu kuanzishwa vyama vingi huwa zinaongozwa kaskazini..

Kuanzia Mrema na NCCR to TLP mpaka Mbowe wa CDM.... upinzani nchi hii ni mali ya kaskazini, ukishalijua hili utaelewa pia watu wa kule tabia yao maalufu ni nini? hauko kule kwa bahati mbaya ni uwekezaji wa muda mrefu wa chama na serikali na watu wa kule..
 
Ccm sio chama cha siasa, bali ni kikundi cha dola kilichojivika koti la chama cha siasa.

ni kawaida kwenye nchi zenye asili za kijamaa, hata vyama vya siasa navyo huwa ni mali ya dola..
 
ni kawaida kwenye nchi zenye asili za kijamaa, hata vyama vya siasa navyo huwa ni mali ya dola..

Na chama kisichoendana na hizo chembe chembe za kijamaa huishia kuandamwa, wakati mwingine hadi kufutwa. Kwa ujumla ujamaa huondoa nguvu ya ushindani, na hutegemea mabavu zaidi kwenye mambo yake.
 
..Ccm kwa sasa hivi hawana HOJA tena.

..Silaha iliyobakia ni kutengeneza migogoro ndani ya vyama vya upinzani.

..Pia wamelenga kuporomosha credibility ya viongozi wa upinzani.

..Watz tunatakiwa tuwe makini tuwahoji Ccm wana mpango gani kuhusu Katiba Mpya.

..Pia tuwahoji Ccm wana mpango gani kuhusu Tume Huru ya Uchaguzi.

..Ccm wanataka tujadili nani kalamba asali mpaka 2025 huku tukiacha mambo ya msingi yanayohusu demokrasia yetu.

NB.

..kama Mbowe amenunuliwa basi anastahili lawama.

..lakini aliyemnunua anastahili lawama kubwa zaidi kwani uwezekano mkubwa amemnunua kwa kutumia fedha za umma.
 
Kwa hiyo nyie mnasubiri huruma ya CCM mmuingie madarakani?
Sio huruma ni maridhiano tu na serikali sio CCM, kwamba wanaweka uwanja sawa upinzani ufanye kazi zake kikatiba na CCM ifanye kazi zake kikatiba.

Hayo ya kuingia madarakani ni kura za watu pekee ndio zitaamua haihitaji huruma za CCM
 
Kwanini awamu iliyo pita miliponda kazi zote za JPM
Nani aliponda? Weka press release ya CHADEMA ikiponda "Kazi zote" za JPM. tatizo mnachukuq maoni ya watu wawili Twitter mnageuza ndio msimamo wa chama.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulikuwa unatoa povu humu tulipokuwa tunawaambia Mbowe anajua kila kitu kuhusu kina Mdee?

Anachojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi wapumbavu, fullstop
 
Acha uzwazwa Lissu alipoitisha maandamano mlijitokeza? Alipokuwa gerezani mlijitokeza kuandamana, ameona njia ya shali mnamuangusha Bora atumie dialogue
Tindo anastress sana alizosababishiwa na Magu
 
Sasa kama mwenyekiti anaimba mapambio hivi, wapi tutapata nguvu ya kuitoa madarakani?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mbona ulikuwa unatoa povu humu tulipokuwa tunawaambia Mbowe anajua kila kitu kuhusu kina Mdee?

Anachojivunia Mbowe ni kuwa na wafuasi wapumbavu, fullstop

Tulia sukuma gang, sasa hivi inabidi mpambane na hali yenu maana nyie ni wafiwa.
 
Acha uzwazwa Lissu alipoitisha maandamano mlijitokeza? Alipokuwa gerezani mlijitokeza kuandamana, ameona njia ya shali mnamuangusha Bora atumie dialogue
Kweli kabisa
 
Dhana nzima ya upinzani Tanzania ni utapanyaji wa pesa za umma tu.
 
Nia yake ya kukutana kwa maridhiano imetimia ndio maana ameshukuru, sasa kilichobaki na kutekeleza yale yanayozungumzwa kwenye meza ya majadiliano.

Kwangu mimi hili ndio la muhimu zaidi na sijui kwanini linachukua muda mrefu kuanza kutekelezwa, kufuata sheria ni jambo gumu sana kwa viongozi wa CCM..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…