Mbwembwe nyingi mitandaoni, lakini makazi ya Baba Mkoani Iringa pa kawaida Sana

Pengine zile
ambazo angetumia kujenga alikusomesha WEWE, unamsemaje Leo hii? Tujifunze kuwaheshimu wazazi kama kibunda KIPO mpe? Chake ulitumia WEWE, huenda angetumia YEYE Leo hii asinge kuwa HIVO alivo
 
Narudia tena
Utamaduni wa kupenda makwao tuwaachie watu wa KILIMANJARO!
Mikoa mingine karibia yote ni majanga!
Unaweza kuta Wazazi wanakaa nyumba imechoka, hawana maji, umeme nk huku vijana wana tanua mjini
Hii habari nzima ya huyu kwao ni huku imepitwa na wakati.

Watu wanahama, wametoka vijijini wakaja mjini wilayani, wametoka mjini wilayani wakaja mkoani, wametoka mkoani wakaja Dar. Wametoka Dar wakaenda Ulaya, Asia na Marekani.

Na hata huko Ulaya na Marekani wanaweza kuhama sayari kabisa wakaenda Mars.

Sasa unampangiaje mtu ajenge kwao, wakati hujui maisha yake na mipango yake, vipaumbele vyake?

Hata hujui kama kujenga ni kitu muhimu kwake.

Achana na kumjengea baba yaje, mtu ana uhuru wa kuacha kujenga kwake yeye mwenyewe. Si maisha yake, wewe ni nani umpangie?

Mimi kuna cousin wangu alikuwa mtu wa biashara, na yeye alikuwa na hii Status Anxiety ya kimazikini ya kujenga. Akajenga bonge la jumba Mbezi Beach. Baadaye akaona lile jumba kalijenga kwa Status Anxiety ya kimasikini. Biazhara zake zilikwama akaona kuna oesa nyingi sana kazi freeze kwenye ile nyumba. Akauza nyumba na kutumia pesa kwenye biashara. Mimi nilimuelewa sana, ika Watanzania wengi hawakumuelewa.

Unamlaumu vipi mtu katika maisha yake, familia yake, vipaumbele vyake?

Pengine yeye kaamua kitu cha muhimu ni kusomesha watoto wa kwao badala ya kujenga jengo ambalo huko kwao hakuna watu anaowajali watakaokaa kwa muda mrefu na hao wazee wanaenda kufariki miaka si mingi?

Pengine kataka kumjengea mzazi wake, mzazi kakataa kasema badala ya kumjengea mzazi, pesa ziende kuwajengea watoto yatima.

Unaingilia famikia usiyoijua, unamlaumu mtu kwa mambo ambayo hayakuhusu na wala huyajui.
 
Pengine zile

ambazo angetumia kujenga alikusomesha WEWE, unamsemaje Leo hii? Tujifunze kuwaheshimu wazazi kama kibunda KIPO mpe? Chake ulitumia WEWE, huenda angetumia YEYE Leo hii asinge kuwa HIVO alivo
Kwanini anisomeshe na asijenge nyumba yake?

Kunisomesha mimi ni wajibu wake maana yeye ndiye amenileta huku duniani

Mimi nikimsaidia mzazi ni huruma yangu tu lakini silazimiki wala kuwajibika kwa hilo

Yeye baba alipaswa aandae maisha yake ya uzeeni siyo akae kunisubiri mimi kisa alinisomeshha.
 
SHIDA unawaiga wazungu ili hali UPO afrika SHIDA MPAKA kwenye madako mkuu
 
SHIDA unawaiga wazungu ili hali UPO afrika SHIDA MPAKA kwenye madako mkuu
Andaa mapema maisha yako ya uzeeni hasa kama wewe ni mwanaume

Huwa nashangaa wazazi wengine wanauza viwanja, nyumba hata Mashamba ili kusomesha watoto wao kwa malengo hao watoto waje kuwa msaada baadaye kwao. Mwisho wa siku mtoto anafeli shule anafeli na maisha mwisho familia nzima mnabaki maskini

Huu utamaduni wa kipumbavu

Mimi nimeshajenga nyumba yangu, baba alifariki nikiwa darasa la nne hakuniachia chochote

Kama nitafanikiwa zaidi nitawajengea pia wanangu na kuandaa maisha yangu ya uzeeni na sitegemei msaada wowote toka kwa watoto wangu
 
Sio suala la kuzoea umasikini tu, bongo kuna ujinga mkubwa uliopitiliza wa kuringishiana ufahari wa misiba na harusi.
Kuna wazee wengine wala hawahitaji kujengewa hizo nyumba za kifahari za kufia huko ila watoto wao wanawajengea ili kuonyesha ufahari wakati wa misiba na kupunguza vijembe na umbea kama alivyofanya Mleta Uzi na wenzake wanaomuunga mkono.
 
Ok kumbe una hasira KISA BABA YAKO hakukuachia chochote MKUU, ndio maaaaannaaa
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ok kumbe una hasira KISA BABA YAKO hakukuachia chochote MKUU, ndio maaaaannaaa
Hakuna sehemu aliposema ana hasira kwa sababu hiyo, ameeleza tu kuwa baba yake alifariki muda huo.

This is a logical non sequitur fallacy.

Habari ya hasira umeiingiza kwa kuilazimisha hapo.

Mtawafanya watu wakatae kufunguka kuelezea naisha yao, kwa sababu kila wakifunguka mna spin maneno kumaanisha jambo ambalo hata halijasemwa.
 
Pengine zile

ambazo angetumia kujenga alikusomesha WEWE, unamsemaje Leo hii? Tujifunze kuwaheshimu wazazi kama kibunda KIPO mpe? Chake ulitumia WEWE, huenda angetumia YEYE Leo hii asinge kuwa HIVO alivo
Mzazi unatakiwa uwe na pesa za kusomesha watoto na kujenga nyumba yako, hayo yote ni wajibu wako na majukumu yako.
 
Uko sahihi mkuu, mi nina nyumba ya urithi pamoja na dada zangu wawili, ndugu na jamaa wanakomaa mara sijui karabati na ujinga mwingine mwingi!
Yan nshajiapiza hata ianguke sitajihangaisha kwa lolote, yan niache kupambana kujenga kwangu nihangaike na nyumba ya urithi ambayo siku sipo wala watoto wangu haiwahusu!
 

aise nimesoma comment ndefu hivi kwa mara ya kwanza leo tar 31 Jan 2026 saa nne kamili usiku siku ya jumamosi

min -me una lolote la kusema?
 
Hawa watu wakisikia story ya Themba Gorimbo alivyokataa kwao Zimbabwe na familia yake watamuona mchawi au amelogwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…