Mchengerwa: Yeyote atakayejaribu kuichezea Serikali hatutamuacha salama

Nchi ya Mama mkwe wake hii Nani atamgusa hata akitupoteza tutapotea na mama mkwe atasema Mkwe Kila wizara anayopelekwa anafanya vizuri.
 
Huko mloka ufukara zaidi ya ufukara
 
Unauliza kibri anaipata wapi wakati anakemea watu wanaojaribu kuichezea salama na amani yuliyonayo?

Kwanini huwaulizi wajivuni wanaotaka kuichezea amani? Kibri hiyo wanaitowa wapi?

Au na wewe ni katika hao wanaotaka kuharibu amani ya nchi?
Takataka!
 
Kanavimba kichwa kwasababu ni mkwe ngoja ajichanganye kwa wahuni
 
Unauliza kibri anaipata wapi wakati anakemea watu wanaojaribu kuichezea salama na amani yuliyonayo?

Kwanini huwaulizi wajivuni wanaotaka kuichezea amani? Kibri hiyo wanaitowa wapi?

Au na wewe ni katika hao wanaotaka kuharibu amani ya nchi?
Amani na njaa havikai pamoja
 
We want mtu atoe hoja (aje na good reasoning) na siyo kutoa vitisho. Wanaoichezea serikali ni wale wasiotaka katiba bora itakayokidhi mahitaji ya sasa ya Watanzania katika karne ya 21.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…