😅😅 mi nasema hawajui wanachokitaka hawa sisi wanatusingizia 🤣🤣🤣nyie tena, hamtaki kujiattach kwenye familia za kishua?
Naunga mkono hojaYaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
yani ni huzuni,, vilio kila kona 😅😅 mpaka wakome😅😅 mi nasema hawajui wanachokitaka hawa sisi wanatusingizia 🤣🤣🤣
Kapeleka mashtaka kwao maana upande wao na kwetu hawaelewani ishu ilianzia siku nilivyoenda kutoa mahali kuna hela ilipungua wakaona dharau lakini kwa undani walituona ni watu maskini tu so mpaka ndoa inafungwa pande mbili kama hazisomi network mke ndani hataki kufuata maelekezo yangu anataka yake mbishi ni kiburi maana amepata nafasi mahali fulani nyeti nimechungulia mshahara mkubwa ila hajaniambia sasa hii ishakuwa nongwa.Pole mwanangu dahh!!! Na yeye alikuwepo wakati unaambiwa hayo yote?? Ilikuaje mpaka akaamua kukushtaki kwao badala ya kwenu?
Mwanangu hapo tembea tu, achana na hiyo kitu au endelea lakini pull off.
Nowadays baadhi ya wanaume wanachekesha kama hawatoki kwenu🤣🤣yani ni huzuni,, vilio kila kona 😅😅 mpaka wakome
Waambie warudishe mahali ujue kuna muda dawa ya moto ni moto tu inakuaje baba mkwe anakujibu hivyo njoo kijiweni nitasimama kama baba yakoYaani ukitaka kuishi kwenye stress kwenye ndoa oa mwanamke ambaye kwao mambo safi wamekuzidi kila kitu sio elimu, sio mali sio imani utajuta tu ni suala la muda joto la ndoa likishaanza kupanda utatamani ufe upotee tu maana sio kwa dharau na kejeli utakazozipata.
Leo nimeitwa kwenye kikao ukweni asubui naulizwa nina nguvu gani ya kumuamrisha mke wangu kufanya asiyojisikia kufanya Baba mkwe ananiambia kama nimemshindwa nimrudishe na mahali yao wanirudishie kwao anayo nyumba yake ataishi kwake na watoto wako wakuu hizi dharau sana nimetoka pale kwa wakwe yaani hata nyumbani kwangu sirudi nimeshushiwa heshima sana.
Bora kuoa mwanamke ambaye mnafanana uwezo ila hawa geti kali hawa tuwaone hivi barabarani ni manyanyaso tu ukiwa nao ndani.
Nimeanza kulewa.
Wanaume wa jeyihefu 🤣🤣Si tulikubaliana muoe mambo safi msaidiane majukumu????
Sisi njaa kali tuko bench tunasikilizia milio