Mdogo wangu Eeh! Kuoa mwanamke ambaye familia yake imekuzidi kila kitu ni mtihani sana. Usithubutu!

Pole mwanangu dahh!!! Na yeye alikuwepo wakati unaambiwa hayo yote?? Ilikuaje mpaka akaamua kukushtaki kwao badala ya kwenu?
Mwanangu hapo tembea tu, achana na hiyo kitu au endelea lakini pull off.
Ushauri wa Kijana huu Kwa Kijana Mwenzake.... Mtatembea sana na hamtafika.
 
Wa kishua wameshtuka, siku izi wanapendana wao kwa wao.
 
Ushauri wa Kijana huu Kwa Kijana Mwenzake.... Mtatembea sana na hamtafika.
Ukiona unapenda sana kuwa na authoritative perspective over other people's opinions, hii ni yellow flag kwako, jitazame sana
 
Ukiona unapenda sana kuwa na authoritative perspective over other people's opinions, hii ni yellow flag kwako, jitazame sana
The same comment Ina reflect na kwako pia...!! Coz nilichofanya Mimi na wewe ndiyo umefanya, hafu unataka uonekani wewe huna hatia ila Mimi ndiye Mkosaji...! Una Akili za ki CCM......! Kuwanyamazisha Kila wenye mtizamo tofauti na wao, ukipewa Ukuu wa Mkoa, ama Urais, Watu wengi watapotea chini Yako.
Acha Ubinafsi.
 
Haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…