Wala sio njaa..Kinachomponza huyo jamaa ni njaa, huwezi kupigiwa simu za kuuza vitabu kisha ukajipeleka hovyohovyo tu.
Au alipumbazwa na zile propaganda za maridhiano?
Lakni Nyinyi mnaochaguliwa bila ya kuiba kura na kuteka hamwezi kupiga kura.Nakusikia.
Huyo Mdude alikuwa akipiga kura ndio akamatwe?
CHADEMA mtasema mengi, mtasengenya, mtabeza...lakini mwisho wa siku hakuna atakaye wachagua.
Hayo yana uhusiano wa kivipi na mada ndugu yangu?Yote hayo unanisingizia ili iweje?Lakni Nyinyi mnaochaguliwa bila ya kuiba kura na kuteka hamwezi kupiga kura.
Huyu mtu chadema imteme vinginevyo watamzika kwa aibu
Hayo yana uhusiano wa kivipi na mada ndugu yangu?Yote hayo unanisingizia ili iweje?
Waliojiteka wamerudi, waliojikimbiza wamerudi....na walitubu hawakuwa wakimbizi wa kisiasa...hayo ya pyu pyu pyu pyi anajua yeye Mkuu wenu na genge lake la mamluki. Magaidi wa Mtandaoni.
Tena copy mbili mbili, ukiwa mzee, au mfaidika wa wizi wa CCM huwezi kununua maana hakitakulipa.Aisee,kumbe kuna wananchi wanaonunua kitabu kilichoandikwa na Mdude
Mduse alishinda lini mahkama amshukuru mam Samia kumpa msamaha vinginvyeo angekula mvua bila huruma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mduse alishinda lini mahkama amshukuru mam Samia kumpa msamaha vinginvyeo angekula mvua bila huruma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Narudia Kwa Mara nyingine kuwaambia Chadema wamkanye huyu kijana, ni kichaa na hana akili, hana adabu hana heshima ajifunze harakati kutoka Kwa Godlisten Malisa.Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu
----
Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari walimpigia Simu Kama Raia wakihitaji Kununua Vitabu vyake, baada ya Kukutana nao wamemkamata kuelekea Ofisi za RCO Mbeya. Amenipigia akiwa Mikononi mwa Polisi. Tunawasiliana na Mawakili Soon.
UPDATES: Mdude aachiwa huru
Kupitia ukurasa wake wa Twitter ameandika haya
Nimeachiwa muda huu bila masharti yoyote baada ya kuhojiwa na jeshi la polisi @tanpol kwa masaa zaidi ya matano kwa kile kilichodaiwa maandiko yangu yanazua taharuki katika jamii. Niseme kwamba mimi ni sauti ya watu na kamwe sitaacha kupaza sauti dhidi ya viongozi wanapoharibu.
View attachment 2517855
Kama mpo karibu na mtu huyu muelezeni ukweli hata sisi tunaosapoti harakati za mabadiriko hatumuungi mkono tabia yake mbovu ya kukosa adabu na heshima.Kwani alikuwa na kesi ya halali au kubambikiziwa? Amshukuru mama Samia kwakuwa mahakama na sehemu ya kuendesha uonevu ama?
Mduse alishinda lini mahkama amshukuru mam Samia kumpa msamaha vinginvyeo angekula mvua bila huruma
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kama mpo karibu na mtu huyu muelezeni ukweli hata sisi tunaosapoti harakati za mabadiriko hatumuungi mkono tabia yake mbovu ya kukosa adabu na heshima.
Nimeshangaa[emoji853][emoji853]
Tafuta mamluki wenzako huko, kaa pembeni kabisaaaa, usinitafute kibinafsi kama huwezi kujibu hoja....Punguza utoto dogo.
Tafuta mamluki wenzako huko, kaa pembeni kabisaaaa, usinitafute kibinafsi kama huwezi kujibu hoja....
utoto wangu uko wapi hapa. kwa hayo majibu chini???
Hayo yana uhusiano wa kivipi na mada ndugu yangu?Yote hayo unanisingizia ili iweje?
Waliojiteka wamerudi, waliojikimbiza wamerudi....na walitubu hawakuwa wakimbizi wa kisiasa...hayo ya pyu pyu pyu pyi anajua yeye Mkuu wenu na genge lake la mamluki. Magaidi wa Mtandaoni.
Kuna utoto gani hapo?
Naona toka nikuambie kuwa matamshi yako na maneno yako(lugha zako) yamejaa ukimbari, umeanza kunifuata fuata na wajinga wako wengine, mkishindwa hoja mnaanza kumshambulia mtu, mnaaanza kudeflect....niache wewe mzee tulia tuli, Usitake tuvunjiane Heshima hapa.... koma
Sasa kama unataka tujadiliane kwa hoja tuendelee, zaidi ya hapo wewe endelea na yako.
... ni kuhakikishie, Ukitema lugha za ukimbari nakula na wewe sahani moja kwa hoja.
...ukitema kejeli na mashambulizi kwangu(yaani personal attack) nakula na wewe sahani moja bila hoja.....
Sasa weka uzeee wako hapa nikupe za kitoto....Sikujui hunijui
Usijifanye unapoteza ufahamu au nipo mjinga kuona unajaribu kunidiskrediti.....yaaani ndio utanichafua zaidi nikuchafue.
Sijakaa hapa JF kwa miaka takriban 15 na yote hiyo, nisijue hulka za wanahudhuri wengi tu....nina mbinu nyingi za kujua 'multi frontal" "multi personal" plus systematic attack towards hoja, towards mwanahudhuri, na hata towards Jamii....siyo bahati mbaya signature yangu inasema Reducio Ad absurdum Usijitoe Ufahamu.
Amani
Ameachiwa, je umenuna? 😃😃😃Wacha afinywe kidogo huyu kamanda uchwara😂
Kaa chonjo wewe kibaraka. Hampati dola kamwe. Ngoja gazeti likuingie.Usingepanick ningeshangaa sana. Ile sentesi ya mstari mmoja ndio umeleta hili gazeti lote! Utakaa tu dogo taka usitake.
Utoto utakuisha tu lazima safari hii.Kaa chonjo wewe kibaraka. Hampati dola kamwe. Ngoja gazeti likuingie...