Alaa kumbe. Tukitoa magoli ya penalty ateba anabaki na goli mbili Simbwa inakuwa ya 14Nyie baada ya penati zetu kuwanyima usingizi na mikelele wiki nzima mlikunywa sumu?? Mbona leo mmetoa meno yote nje na mipenati mliyopewa..
Fainali ya kombe gani hilo aliyocheza Simba mwaka 1993Simba kacheza 1993!
Chagua wewe caf zipo ngapi na wewe unashiriki ipi na upo hatua gani mpaka muda unapo andika!Caf ipi? Ya Zanzibar au hii ambayo madunduka akiwa anashiriki Yanga ni bonanza ila wakishiriki wao inageuka kuwa Club bingwa?
Kombe la caf!Fainali ya kombe gani hilo aliyocheza Simba mwaka 1993
Timu imecheza fainali halafu unasema kimataifa hawatoboi, hivi mna akili sawa vichwani mwenu?Ndiyo maana utopollo kimataifa hawatoboi. Kule hakuna kuhonga wachezaji
Muda huu unaoandika mashudu yako haya upo hatua gani?????Timu imecheza fainali halafu unasema kimataifa hawatoboi, hivi mna akili sawa vichwani mwenu?
Kama unahisi kombe ulilochoza fainali mwaka 1993 lina hadhi sawasawa na alilocheza Yanga fainali mwaka 2023 basi tuambie aliyechukua kombe hilo dhidi ya Simba, alicheza CAF super cup dhidi ya timu gani?Kombe la caf!
Ni hatua ile ile inayofanana na Simba kutoka kucheza robo fainali kisha msimu unaofuata katolewa na UD Songo au Galaxy. Maanake kuna moment za kukosea na kujifunza kwenye mpira.Muda huu unaoandika mashudu yako haya upo hatua gani?????
Halafu wachezaji waliofungwa wakapewa zawadi ya usajili. Kuna tetesi wametapeliwa, wanadai mamilioni. Hii nchi kuna vilabu kama DECI tu.Ni kweli kabisa na ndio maana Simba ilifungwa goli 5 ili kukamilisha biashara
Ama kweli supu imewaathiri akili kama alivyosema manara alicheza na zamalek!Kama unahisi kombe ulilochoza fainali mwaka 1993 lina hadhi sawasawa na alilocheza Yanga fainali mwaka 2023 basi tuambie aliyechukua kombe hilo dhidi ya Simba, alicheza CAF super cup dhidi ya timu gani?
Huku tumeona USMA akicheza CAF super cup dhidi ya Al Ahly. Vipi hiyo ya kwenu ilikuwaje?
Kila mwaka mnakosea nyinyi kweli supu imekuathiri yanga anapigwa sita wachezaji wa kuazima alphonse modest kocha tito mwaluvanda hatua ndio hiyo hiyo tena mnapigwa na al hilali dar mnatoa sare sudan bado tu unajifananisha na simba simba kimafanikio yupo mbali kataa supu ya hersi inaathiri ubongo na kupoteza kumbukumbu!Ni hatua ile ile inayofanana na Simba kutoka kucheza robo fainali kisha msimu unaofuata katolewa na UD Songo au Galaxy. Maanake kuna moment za kukosea na kujifunza kwenye mpira.
Nilijua tu kuwa hapo utapita kama unaaga maiti huwezi kuthibitisha mechi ya super cupAma kweli supu imewaathiri akili kama alivyosema manara alicheza na zamalek!
Chura wa kijani simba hajakubandua 5 bilaSimba wanapenda sana rushwa yani wamepokea pesa za Yanga ilimradi tu wapigwe 5 bila albu.
Unaongea kama dume lisilolo na marinda!Haishangazi kufunga goli nyingi zote ni hesabu za mwisho wa mwaka hizo goli nyingi kwa kipindi ndio wakati wake ukipewa hela ya watu lazima ufungwe 6 mpaka 7 ili mwisho wa ligi watu wahesabu magoli!......biashara wazi wazi!
Sawa bwana MwakaroboChagua wewe caf zipo ngapi na wewe unashiriki ipi na upo hatua gani mpaka muda unapo andika!
Kinyoonge umemaliza!Sawa bwana Mwakarobo
Hebu ongea tusikie maana ukisifiacho kimekukuta!Unaongea kama dume lisilolo na marinda!
Mkuu umefikiria nini hapa [emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio bwana Mwakarobo wenye mafanikio yenu ya kufungua WhatsApp groupKinyoonge umemaliza!