Messi Vs Haaland; Ungempa nani kura yako ya Ballon D’or


Kwahiyo point yako nini? Kwamba Messi hastahili hii tuzo! Mashabiki wa ronaldo mnatabu sana, mahama hama, na mtahama sana mpaka mwenye mpira wake astaafu soka.

Binafsi, bado sijaona mchezaji wa kumlinganisha na Messi.

Na kama hastahili, basi weka stats zake na halland weka stats zake tulinganishe, na za dribbling n.k... acha maneno mengi lete hapa kila mtu aone
 
Ehhh DRIBBLING tena
 
Mchuano ni mkali sana. Pamoja na kuwa namshabikia sana CR7 ila kura yangu nitampa Lionel Magic Messi. Haaland yupo vizuri, ila Messi yupo vizuri zaidi na kikubwa ni genius akiwa kwenye pitch!
Messi ndiyo yupo talented zaidi kuliko hao wapinzani wake, ila hizi tuzo zinaangalia mafanikio ya mchezaji katika mwaka husika, yaani mchezaji ame achieve nn? Na sio nani ana kipaji zaidi. Jibu ni kuwa Halland amepata mafanikio zaidi kuliko mwanasoka yyte yule kwa mwaka jana
 
So world cup sio mafanikio?
Finnalisima cup sio mafanikio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…