Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,868
- 2,191
Hivi unaweza kunielewesha hapa unapinga nini na unaongelea nini ? Ebu soma majibu yako na maswali yangu mpaka hapa alafu uone hata kama wewe mwenyewe utajielewa....
Na unaongelea Gaucho ? Gaucho was an entertainer hio ndio trademark yake na alifanya hivyo ipasavyo na mwaka alioshinda alistahili; Point nayokupa kwa mwaka huu hawa primadonnas pamoja na huyu huko PSG walichofanya hakiendani na noti waliyokuwa wanapewa (kuzomewa kwao ikiwemo Messi haikuja kwa bahati mbaya) they shortchanged the Fans (na kwangu mimi hakuna voter wa maana kama shabiki anayetoa his hard earned cash(
Kwahiyo point yako nini? Kwamba Messi hastahili hii tuzo! Mashabiki wa ronaldo mnatabu sana, mahama hama, na mtahama sana mpaka mwenye mpira wake astaafu soka.
Binafsi, bado sijaona mchezaji wa kumlinganisha na Messi.
Na kama hastahili, basi weka stats zake na halland weka stats zake tulinganishe, na za dribbling n.k... acha maneno mengi lete hapa kila mtu aone