vyanzo vyao ni bwimbwi aka ngada aka poda aka sembe aka unga
Kifo cha Erasto na mjadala kuhusu utajiri wake ni fursa nyingine kwa WTZ kujifunza zaidi juu ya elimu dunia...binafsi imenishangaza sana kujionea dhana ya ubilionea/umilionea inavyowasumbua wengi hususani walio nje ya jiji la Arusha kutokana na yafuatayo: kwamba ubilionea
@ unahusishwa na ukubwa wa mji
@ ni kuwa organized (ofisi,wapambe etc)
@ ni kwa personality fulani the likes of Bakhresa Dakote nk
@ Upatikana ktk mji mkubwa mfano Dar na si kwingineko
@ ni lazima utokane na structured business...na si individual (sole)
@ ni lazima kufahamika na TRA kama mlipa kodi mkubwa
@ ni sharti uorodheshwe ktk jarida la Forbes na au kutambulika duniani kwa ujumla
@ unatokana sarafu maarufu duniani mfano $,£, nk.
@ hauwezekani ktk sarafu mfano ya TZS na Zim Dola.
@ unatokana tu na kufanya aina fulani ya biashara na si kila biashara
Nk
Naamini hapo juu ni baadhi ya dhana potofu juu ya ubilione. Ukweli ni kwamba michango inayoendelea hapa inawaweka wengi ktk daraja la chini kidogo linapokuja swala la "general knowledge"..wengi wana vyeti "vizuri" lakini inapokuja kwenye tafsiri ktk maisha halisi kwa kweli kuna tatizo. Binafsi napenda kuamini kuwa wengi wa wanaochangia hapa jukwaani ni watu informed au wanapashwa kuwa hivyo inapokuja maswala madogo kama who is a millionaire/billionaire?
Unataka kuleta story za Freemasons?
Jackson 'Manjuru' hata kama marehemu alikua anatembea na mkeo na ni mkeo mwenyewe ndio alitaka akuue wewe na mtoto kwa kunogewa na penzi la Erasto. Ili alithi mali haikupaswa kulipiza kisasi,mludie mungu wako

Mkuu utaenda kuisadia police.
Watu wa dar tabu kwel mnaendesha Raum na nyumb za kupanga na kaz z kuajiriwa mtafikia lini Arusha? Wewe tembelea Mji wa Arusha uone jinsi wazawa wanavyo invest mjini akina Kiure . Sasa dar matajiri n wahindi na wauza madawa 2 hamna lolote uswahl unawasumbua 2. Wa2 wanafanya kaz bhana co maneno . Hv mnaijua SG RESORT ? Co hotel ya kitoto more than ten floor halafu hajachukua mkopo n kwa hela ya madini sasa akiitwa Bilionea kinawauma tangu apo keshafariki .ila jambo 1nasisitza kama m2 anastahl sifa kwa mamb mazur ya n nn kumkandia ? Ndo yale hamna uwezo wa kununua gar lakn rafk yako akinunua unaumia moyo why? Co lazma wote 2we tajiri
Kifo cha Erasto na mjadala kuhusu utajiri wake ni fursa nyingine kwa WTZ kujifunza zaidi juu ya elimu dunia...binafsi imenishangaza sana kujionea dhana ya ubilionea/umilionea inavyowasumbua wengi hususani walio nje ya jiji la Arusha kutokana na yafuatayo: kwamba ubilionea
@ unahusishwa na ukubwa wa mji
@ ni kuwa organized (ofisi,wapambe etc)
@ ni kwa personality fulani the likes of Bakhresa Dakote nk
@ Upatikana ktk mji mkubwa mfano Dar na si kwingineko
@ ni lazima utokane na structured business...na si individual (sole)
@ ni lazima kufahamika na TRA kama mlipa kodi mkubwa
@ ni sharti uorodheshwe ktk jarida la Forbes na au kutambulika duniani kwa ujumla
@ unatokana sarafu maarufu duniani mfano $,£, nk.
@ hauwezekani ktk sarafu mfano ya TZS na Zim Dola.
@ unatokana tu na kufanya aina fulani ya biashara na si kila biashara
Nk
Naamini hapo juu ni baadhi ya dhana potofu juu ya ubilione. Ukweli ni kwamba michango inayoendelea hapa inawaweka wengi ktk daraja la chini kidogo linapokuja swala la "general knowledge"..wengi wana vyeti "vizuri" lakini inapokuja kwenye tafsiri ktk maisha halisi kwa kweli kuna tatizo. Binafsi napenda kuamini kuwa wengi wa wanaochangia hapa jukwaani ni watu informed au wanapashwa kuwa hivyo inapokuja maswala madogo kama who is a millionaire/billionaire?
Wakati wote nawaambia bilionea ni mtu anayemiliki Bilioni zaidi ya 2! Sasa Erasto ana zaidi ya hizo, ni Bill.
Tuache wivu wazee!
Arusha hakuna serikali???
Mnduweru ghendamboa,lakini si vyema kufanya yaliyofanywa kwani aliyeondoka hajui kama ameondoka na dawa ya baya si baya,kama alifanya hayo mnayosema mungu amsamehe lakini wewe ndugu yangu damu hii uliyomwaga itakurudia kwn uhai wa mtu gharama aijua mungu tu.amina:wave: