Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Madhara ya utawala wa mwenda zake madhara ndiyo yanaonekana sasa hivi...

-Nafanya kazi kariakoo kwenye hardware vitu vimepanda bei sana..

mfano kitu kilicho kuwa kinauzwa elfu 50 sasa hivi ni laki moja na 60..

Uchumi uliharibiwa sana.. Yale maduka yaliyokuwa yakifungwa enzi za mwenda zake madhara yake ndiyo haya
 
Halafu ukikaa nao kwenye Vijiwe vya Kahawa wanakwambia hakuna kama Samia πŸ˜†πŸ˜†
Herding behaviour (Unyumbu) an occurrence of thoughtful people, suspending their individual reasoning because of fear in this case fearing their leader or self-Absorbed group
 
Sababu ya Magufuli!
 
Kwaniaba ya Zitto , Makamba na Nape nachukua fursa hii kusema kuwa mfumuko wa bei na bidhaa kupanda umesababishwa na Hayati Magufuli... ..mama anafungua nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…