Mfumuko wa bei ni tishio kwa maisha ya Watanzania

Utasikia covid, sawa inaweza changia ila sio katika kiwango kilichopo ,yani nyama tu imefika mpaka elfu 7 mpaka elfu 8 ,sijui na ng,ombe tz zimekufa na covid!

Kuna mtu ameniambia Ngombe ,mbuzi wanasafiliahwa kwenda comoro n.k, waliruhusu may be ndo kufungua nchi, sijui ,Mbolea usiseme haikamatiki

NB na wasipo kua makini kuangalia namna ya KUZUIA mazao KWa Sasa kuuza nje hasa yale ya chakula, KWa ukame huu unaoendelea mwakani Hali inaweza kuwa mbaya Sana ya chakula nchini

Hali ni mbaya Sana kila nyanja
 
Leo nmeenda kununua saban ya 500 naambiwa 700( ile ya unga) kiukwel huko mbele cjui Kama mama atatufikisha,na tukifika tutakuwa tmechoka Sana..
Pole Sana mkuu Mwanza kipande Cha mche wa sabuni kilichokua kinaunzwa sh 100 Sasa 200,Mimi nafikili wafanyabiashara wameficha bidhaa kwenye magodauni, Hali sio
 
Unashangaza ndugu,tafsiri ya kukua uchumi ni pamoja na bidhaa kupata bei..

Harafu msipende kuleta tafsiri za kijinga kwenye neno inflation..

Mwisho naomba kujuzwa ikiwa bei za 2019 zilikuwa sawa na za 2020?
 
Jpm aliua uchumu hu kwa kzidisha kukopa huyu chief Hangaya hana jibu la kurekebisha hu uchumi, paka tupate mtu ambaye ni economician sio hao kama Mwigulu
Na nchi aliirudisha shimoni ambako MKapa na JK waliitoa.

Hapa ndiko shujaa wenu mpuuzi alipoifikisha nchi ๐Ÿ‘‡

 
Haijapita miezi 6 mara ya mwisho andika gypsum powder nilinunua elf 15, leo inacheza hadi elf 33......kama vipi alazimishwe, mitano tena.
Moto bado si mlimsifia Sana Jiwe? Hii ndio madhara ya uongo afu mhusika kakimbilia kaburini
 
Kwaniaba ya Zitto , Makamba na Nape nachukua fursa hii kusema kuwa mfumuko wa bei na bidhaa kupanda umesababishwa na Hayati Magufuli... ..mama anafungua nchi
Kumbe unadhani nani kasababisha? Marehemu hawezi kwepa lawama huko huko kaburini zitamfuata.
 
Hatoboi , uchaguzi wa 2025 ni uchaguzi serious kuliko zote zilizo tokea fanyika tz ,
Hiyo 2025 ni mbali sana,kwa akili yako mbovu unadhani Hali itaendelea kuwa worse? Mama anakabili madhara ya upuuzi wa Jiwe but by 2023 uchumi utatengamaa
 
Legacy ya Magufuli inawatesa Sana wezi na wajanja wajanja.

Kama Kuna anaebisha subirini 2025, naamini Watanzania tunaakili Sana.
Watanzania gan hao wenye akili sana?? Hawa hawa wanaolipishwa tozo mpya kila kukicha?
 
Viti vikiendela kupanda pesa itapoteza thamani, pesa ikipiteza thamani uchumi utaanguka. Hivyo hata ukitafuta vipi itakua kazi bure
Offset itatokea via investment ndio maana nampenda mama anajua kutatua tatizo ,anahangaika huku na huko kutafuta wawekezaji Ili kuziba hasa pengo la foreign reserve.

Mambo si haya ๐Ÿ‘‡















 
Kwanza mtoa mada ungejua Tzn inavyojitahidi usingeandika hayo no vile mnaamka asubuhi kula na kulala huwa hamuwezi fuatilia kinachoendelea kwingine Duniani na Afrika..

Kama Tzn kuna mfumuko mkubwa wa bei basi nakushauri hamia mojawapo ya nchi tajwa.hapa chini ukafaidi maisha๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡



 
It will never happen.. Uchumi haupimwi kwa parameters senu za kijinga.

This is how good the economy is performing ๐Ÿ‘‡

View attachment 2017878

View attachment 2017879
Huu Uchumi wa kudanganyana kipika Data wakati Wananchi wanashindia miguu ya Kuku.

Wewe nenda ha Iramba tu ukaone Binadamu wanaishia kula Punda na Vinyamapori vingine Uchumi gani huo.

Mwigulu aonyeshwe Mlango ili hii Nchi inusurike.
 
Huu Uchumi wa kudanganyana kipika Data wakati Wananchi wanashindia miguu ya Kuku.

Wewe nenda ha Iramba tu ukaone Binadamu wanaishia kula Punda na Vinyamapori vingine Uchumi gani huo.

Mwigulu aonyeshwe Mlango ili hii Nchi inusurike.
Hali hiyo imeanza miezi 6 iliyopita? Zama za propaganda zimekwenda na Mwendazake,data hizo ni sahihi na hazijapikwa kama alivyokuwa anafanya yule mtu wenu..

Kuharibu ni rahisi kujenga ni maumivu,mama anajenga haiwezekani ndani ya miezi 6 uchumi ukawa vizuri.

Vipi hata hizi bado unabisha? ๐Ÿ‘‡





















 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ