4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Utasikia covid, sawa inaweza changia ila sio katika kiwango kilichopo ,yani nyama tu imefika mpaka elfu 7 mpaka elfu 8 ,sijui na ng,ombe tz zimekufa na covid!Chuma ya aluminum iliyo kuwa inauzwa 30000 Sasa ni 55000
Vioo vilivyo kuwa vinauzwa 44000 kwa Sasa ni tsh 120000-150000 /= hii si sawa nafikiri Kuna shida mahala ,hata Kama chnzo cha mfumko ni korona lakini wafanya biashara wamejiongeza mbele zaidi.
Bahati mbaya kabisa serikali haisemi chochote kuhusu mufumko huo.
Ni hatari sana
Kuna mtu ameniambia Ngombe ,mbuzi wanasafiliahwa kwenda comoro n.k, waliruhusu may be ndo kufungua nchi, sijui ,Mbolea usiseme haikamatiki
NB na wasipo kua makini kuangalia namna ya KUZUIA mazao KWa Sasa kuuza nje hasa yale ya chakula, KWa ukame huu unaoendelea mwakani Hali inaweza kuwa mbaya Sana ya chakula nchini
Hali ni mbaya Sana kila nyanja