StudentTeacher
JF-Expert Member
- Jan 30, 2019
- 7,043
- 8,478
Mkuu,mimi kuutunza mwili wangu sio suala la mjadala kwa sababu najua Mungu aliposema "Usizini" alikuwa na nia ya kuniepusha na nini.Wewe ulieoa mwanamke wa ndoto zako umetulia?
Ukimfundisha kuchepuka it's a matter of time atageuka kuwa mkufunzi wako wa uchepukaji.Kinacho waponza wanawake wengi ni kutaka kuweka ligi na wanaume bonge moja la mistake
Hauwezi kuondoka kama chanzo bado kipo!Hakuna mwenye haki ya kuua mwingine tukatae kwa pamoja huu ukatili
Inayotokana na nafsi ya mtu kutokukombolewa kwa damu ya Yesu:Umesema kweli, wanaume hamjui kufarijiana, ukishare hiyo kwa washikaji zako wanakujaza upepo ukirudi unamtia bisu mtoto wa watu na majuto huanzia hapo,
Tuzunguke koooooote ila ishu hapo ni changamoto ya afya ya akili
Wanaanzaga hivohivo mara vibao mwisho visu aisee mm kwenyvwafia ndoa wanitoe nife Mungu akiniitaNa nyie wanawake mjichunge sana kama hamuwezi kupimana afya ya akili basi angalau uwe na clue, ukiona mtu mmepishana kidogo amebadilika uso na macho au amekuzaba kibao kimbiaaaaa huyo mshenzi kuna siku atakuua, usivumilie kipigo wala udhalilishaji, mwisho wa siku utazikwa mapema
Unatak kusema hao waliouawa wanaume zao waligundua wanatak kuwaua au kuwadhulumu takwimu inasema chanzo ni wivu mbona imeelezwa au mm ndo sijaelewaNajua hapa kila mtu ata tetea upande wake.
But ladies take this,
Wanaume sisi ni wapole sana na wakarimu sana kwa wanawake tunao wapenda.
Tunaweza kukuhonga chochote au kukupa chochote. Ukiwa submissive, Ukitulia na kuonyesha upendo ule wa kweli.
Yani kupoteza mali za mabilioni kukupa hatuwazi.
But the moment, tamaa imekuingia na ukatu provoke to the point ya kutudhulumu au kutaka kutuua.
Tukiwahi kujua, my dear you are finished!
Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.Inabidi ushukuru kwa sababu huyo mwanamke hakuweza ku fake
Ukaishia kugundua mapema na kuepuka madhara ambayo yangeweza kujitokeza mbeleni
Shida ya mahusiano mengi hakuna uwazi hakuna true love mtu una focus unakuta na jambazi la mapenzi inavunja moyo ila ni kujikaza kusonga mbele usikubali kupelekwa na hisia na kuishia kufanya ukatili
Mbona kujitafutia jmn😀😀Mke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
Mkuu katika hali ya kawaida,mtu huna X-ray machine ya kuumulika moyo wa mtu. Ukaanze kujifaragua kuokotana na mtu ambaye hujui amekuja kwenye maisha yako akiwa na hali na nia ipi.Mbona kujitafutia jmn😀😀
Nimecheka sana case study, dah wanawake siwawezi hahahahahaNa sasa hivi tunawawekea mpaka kwenye shower gel kidogooo!!!!!
Yaani akifikishwq muhimbili badala apimwe vipimo anakuwa case study
Wekeni hayo majukwaa ya kuwakomboa wanaume, kama mnaavyodaiKwa namna yoyote ile huna haki ya kuua mtu wewe unaweza kuumba ?
Kwanini usifate sheria
Kuua kunafanywa na wanaume wenye changamoto ya afya ya akili
Hivyo tunaitaji majukwaa ya kukomboa wanaume na fikra hizi mbaya na wafundishwe kustahimili pindi yanapowakuta mazito
Ni mwendo wa kuwapa madaktari taharuki na wagonjwa wao.Nimecheka sana case study, dah wanawake siwawezi hahahahaha
Huenda miaka ya nyuma yalikuepoWekeni hayo majukwaa ya kuwakomboa wanaume, kama mnaavyodai
Ulitakiwa ujiulize miaka ya nyuma yalikuwepo? Kwanini hivi miaka ya karibuni?
Kumbe hatufati kanuni ndio maana yanatukututa mazitoMke au Mume wa kujitafutia mwenyewe ni tofauti na Mke au Mume wa kupewa na Mungu.
Ukijitafutia mwenyewe jiandae kwa lolote wakati wowote!
Mwanamke wa Africa bila ndoa anajiona hajakamilikaWanaanzaga hivohivo mara vibao mwisho visu aisee mm kwenyvwafia ndoa wanitoe nife Mungu akiniita
Wanawake wajinga wauliwe tu, jitu linasema linakupenda kumbe linakazwa na mtu mwingine liuawe tu.Na wewe unasema hivi bro?
Unaunga mkono ukatili na mauwaji?
Usimuue muache kwa amaniWanawake wajinga wauliwe tu, jitu linasema linakupenda kumbe linakazwa na mtu mwingine liuawe tu.
Sawa mkuuCha msingi watu wapunguze tamaa na usaliti
Hapa naona unachanganya mbege na wine mzee 💔Ni idadi kidogo ukilinganisha na vyanza vingine vya vifo, kuharisha kunaua watu zaidi ya 17,000 kwa mwaka Tanzania, hapo ni availability heuristic bias tu ndio inasababisha hilo gumzo lote ila kiuhalisia serikali ilitakiwa iwekeze nguvu na kelele nyingi zaidi katika usafi wa namna bora ya kunawa kunawa mikono, usafi wa vyakula na vyoo kuliko mauaji ya wapenzi😁