Live za Jana usiku, nililala, nimekutana nazo asubuhi View attachment 1260108
withdraw payment kwa mastercard/visa walishazitoa karibu week 3 sasa..inakubali ukideposit ila kutoa inagoma..naona wabongo wametia fitina mpka 22bet na yenyewe wametoa option ya kuwithdraw kwa visaHakikisha kwanza profile imejazwa vizuri hlf toaView attachment 1260868
Kama ni master card ya voda ama airtel money inagomaKila nikiwasiliana nao hawajibu chochote, acha tu mkuu kila nikiwithdraw inakaa muda kidogo inaleta ujumbe withdraw rejected by operator
Ingia kupitia chrome webversion log in nenda kweny setting fanya ku update details Zako Kisha save toa pesa izo boss
Hii ni Kama bangi. Huwezi kuacha.Huu uzi nilikuwa nauona na kuupitia mbali ila siku nimeingia kwenye uwekezaji huu sikosi kuupitia kuchota ujuzi japo tangu nimeingia nakula za uso tu ila sikati tamaa
Ndiyo uzi pekee ulio strong humu ndani. Hauwezi kuingiliwa na waliomo humu wanaelewa wanachokifanya wenyewe wenyewe tuuHuu uzi nilikuwa nauona na kuupitia mbali ila siku nimeingia kwenye uwekezaji huu sikosi kuupitia kuchota ujuzi japo tangu nimeingia nakula za uso tu ila sikati tamaa
Yanga SIWEZI kuweka hela yangu. Hata Kama dk 75 anaongoza kwa 3-0. SiweziUshabiki pembeni
Kaka hii Kama bangi, ukizoea kuvutia kichochoro fulani huachi kwenda.Si mtumie sportpesa wao hawana hizo shida ndogo ndogo za kutoa au kuweka kwani hizo kampuni mnazo zilalamikia zimewapa nini mbona mmeziganda hivyo
Yaani ni sumbuke kumla mhindi na kutoa pesa yangu nisumbuke
Karibu Sana,Rasmi nimeamia humu
Nani alikuambia kubeti no rahisi.Betting ni mchezo mgumu sana asee, wahindi wanatunyanyasa wengi kweli yani..
Naweka maneno yako kwenye kumbukumbu.Sibeti tena kamwe
Kwanini mkuuu usiweke kwenye kumbu kumbu siku ya kwanza nilibeti nikaliwa laki ila sijakubali mpaka nirudishe zile pesa zanguNaweka maneno yako kwenye kumbukumbu.
Safari ya kwenda pasipokubal kurudi huwa inaanzia kwenye hiyo kauli,Kwanini mkuuu usiweke kwenye kumbu kumbu siku ya kwanza nilibeti nikaliwa laki ila sijakubali mpaka nirudishe zile pesa zangu