Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akiliWanakurudishia ileile hela uliyocheza kiongozi....
Umejidanganya hao ni mawakara ...pia waulize hesabu ya jumla baada ya mwezi faida sh ngapi na hasara sh ngapi ? Hao wapo kutangaza makampuni yao ya bet hivyo pesa wanayo poteza ni sehemu ya matangazo ya biashara zaoSo far mwenye ni dhamu mpaka sasa ni Kayombo Tips Ser na piddy. Nilichokiona hapa wengi wetu tunakosa nidhamu ya kazi. Tungekuwa na nidhamu kwa kuweka odds chaache na stake ya maana hii industry ingeonekana ya maana. Lakini watu tunazalisha urahibu kwa kustake vi500 vi200 kwa msururu wa game. Tuwe na nidhamu.
π₯π₯π₯πππππͺπͺπͺSPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS:- 2.40
CODE:- BE9153
Nickname:- Highest STAKERS
View attachment 3118044
π―SPORTYBET SPORTYBET SPORTYBET
ODDS:- 2.40
CODE:- BE9153
Nickname:- Highest STAKERS
View attachment 3118044
Hapana katika hizo mechi Tano .... Ziwe na odds ya kuanzia 1.5....Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akili
Binafsi nimelifutilia mbali li-app lao na nimewaachia elfu 19 wakae nayo,,,, ***** zao tangu juzi no salio,,, alafu cyo mara moja,,,,
Yaani unapigwa na pesa nayo fulu kukuletea mawenge,,,,, hawa jamaa yataka moyo kuingia huko
Kumbe ndiyo ujanja walio tumia nilitska kushanga wafanye kosa kubwa kama hiloHapana katika hizo mechi Tano .... Ziwe na odds ya kuanzia 1.5....
Nmelichek tren limekaa poa ila Kuna match 2 nmejiulza Sana kwann umezipa vile .Sportybet odds 135 mechi 26 treni la siku tatu
B84341
Naendelea kueditNmelichek tren limekaa poa ila Kuna match 2 nmejiulza Sana kwann umezipa vile .
Mfano hii ya England vs Greece
Kwingne umetoa handcap gaol 2/3 ila hapo ukatoa goal 1 Kwa Greece au ndio zile ngumu kumeza zako za odd 10 ?
EditSportybet odds 135 mechi 26 treni la siku tatu
B84341