Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wanakurudishia ileile hela uliyocheza kiongozi....
Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akili
 
KANUNI KUU MBILI ZA CASH OUT
1) USI CASH OUT PESA INAPOKUWA NDOGO CHINI YA ASILIMIA 80 % YA PESA UNAYO TAKIWA KULA KAMA MKEKA WOTE UKIWIN
2) KAMWE USIFANYE KOSA LA KUTO KU CASH OUT PESA INAPOFIKA ASILIMIA 80% YA PESA UNAYO TAKIWA KULA .
Mfana pesa unayotakiwa kula ni sh 10000 ila cash out ni sh 8000 au juu ya hiyo basi usipoteze muda wewe cash out haraka sana.
 
So far mwenye ni dhamu mpaka sasa ni Kayombo Tips Ser na piddy. Nilichokiona hapa wengi wetu tunakosa nidhamu ya kazi. Tungekuwa na nidhamu kwa kuweka odds chaache na stake ya maana hii industry ingeonekana ya maana. Lakini watu tunazalisha urahibu kwa kustake vi500 vi200 kwa msururu wa game. Tuwe na nidhamu.
Umejidanganya hao ni mawakara ...pia waulize hesabu ya jumla baada ya mwezi faida sh ngapi na hasara sh ngapi ? Hao wapo kutangaza makampuni yao ya bet hivyo pesa wanayo poteza ni sehemu ya matangazo ya biashara zao
 
Amka na ya supu.
Betway Share a Bet - F251F18.png.jpg
 
Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akili
Hapana katika hizo mechi Tano .... Ziwe na odds ya kuanzia 1.5....
 
Binafsi nimelifutilia mbali li-app lao na nimewaachia elfu 19 wakae nayo,,,, ***** zao tangu juzi no salio,,, alafu cyo mara moja,,,,
Yaani unapigwa na pesa nayo fulu kukuletea mawenge,,,,, hawa jamaa yataka moyo kuingia huko

Mpaka leo account ni empty jamaa wangu.......sitawaamini tena na waliponifikisha itoshe niseme imetosha😥
 
uguzl.jpg

ACCUMULATOR OF THE DAY ON PARIPESA

📌 Betia PARIPESA. Kama Huna Akaunti Ya PARIPESA Tengeneza Hapa, Na Promo Code Weka TIPS2424 upate bonus 👇.

PariPesa

PariPesa

Promo Code: TIPS2424

Booking Code: 4TCP3

📌 Pata Bonus Ya 280000 Kwenye PARIPESA Ukijiunga Leo Na Kuweka Promo Code TIPS2424
 
Sportybet odds 135 mechi 26 treni la siku tatu

B84341
 
Sportybet odds 135 mechi 26 treni la siku tatu

B84341
Nmelichek tren limekaa poa ila Kuna match 2 nmejiulza Sana kwann umezipa vile .
Mfano hii ya England vs Greece
Kwingne umetoa handcap gaol 2/3 ila hapo ukatoa goal 1 Kwa Greece au ndio zile ngumu kumeza zako za odd 10 ?
 
Jama mbona tellegram kwangu haifunguki?
Nimerefresh bila ya mafanikio kuna nini jamani?

Msaada tafadhalini.
 
Back
Top Bottom