Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Kama ni hivyo kweli basi ....wamejichanganya siku akitokea mtu mwenye akili wenyewe watafuta hiyo kanuni kwenye kampuni zao mfano mechi 5 wewe unacheza odds 1.06 mechi 4 na moja unacheza ngumu kumeza kama ya handicap home win 0-3 hapo odds zinaweza kuwa kama 10 hivi unatia sh 5000 ...hiyo mechi ikichana zingine zinakuwa zime win hivyo pesa yako inabaki salama inakuwa kama kanji kakupa kubeti bure ila ukila unapata pesa ....tumieni akiliWanakurudishia ileile hela uliyocheza kiongozi....