Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Milioni 350 za faini ya kina Mbowe zinazorudishwa na mahakama unashauri zifanye kazi gani?

Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.

(1)
Zilipe mawakili (2) nusu ziingie kwenye chama (3) na nusu iliyobaki apewe muathirika kama kifuta jasho ,
 
nauliza wakuu wangu
Acha unafiki na uzandiki blali inzi wa kijani mkaa choo cha tundu. Wewe nani anajua kama ulichanga au ni gigigogu wako? Onyesha hapa sms iliyoonyesha ulichangi nikurudishie ukaharishie mbali. Fockof. Simbirisi wahead.
 
Nje ya mada ,sijui sijui na sisi wa mechi ya Sumba na yanga iliyohairishwa watafanya hivi
Bro! Hii nchi inamambo ya ajabu sana, inshort zile hela zimekwenda na maji.. mchango wao tutauhamishia kwenye ujenzi wa uwanja wa mpira wa chattle.
 
Wajinga ndio waliwao, bora hizo hela ungechangia watoto yatima ukapata baraka kwa Mungu kuliko kuwachangia hao vibaraka wa wazungu.
 
nauliza wakuu wangu
Mataga mnahangaika sana. Na kuchanga hamkuchanga . Wana Cdm walitoa fedha hiyo kwa mapenzi makubwa ili kunusuru viongozi wao dhidi ya dhulma za haki.

Hatuna cha kupoteza , pesa hiyo itaenda kwenye mfuko wa chama. Kumbuka pia kuna gharama za kukata rufaa.

Wana Cdm hawana mioyo ya vinyongo. Na hamuwezi kuwagombanisha na chama chao.
 
Utaratibu ni unaonyesha msg ya muamala uliochangia, then inafanyika uhakiki.. unapewa chako!!
Kutoa ni moyo na tayari walishatoa kwa wahusika.
Hizo fedha zitumike angalau kuanza ujenzi wa jengo la makao makuu ya chama .
 
Kutoa ni moyo na tayari walishatoa kwa wahusika.
Hizo fedha zitumike angalau kuanza ujenzi wa jengo la makao makuu ya chama .
Mkuu humu tunawajibu Mataga nafsi zao ziridhike tu ila sisi tuliochangia tunajua kwanini tulifanya vile na hata ikihitajika 350mil nyingine tutachanga Tena!

Usikute ile 350 ya mwanzo tuliyochanga walilipwa yepi merkez kuendeleza "farasi mweupe"
 
Nimekusoma kiongozi
 
Ni kiasi cha US$ 150,000 sawa na milioni 350.
  1. Zijenge ofisi makao makuu?
  2. Zisaidie kulipa faini na mawakili wa kesi zilizobaki?
  3. Zisaidie mchakato wa katiba mpya?
  4. Zinunue kiwanja cha ofisi makao makuu Dodoma au Dar es salaam.
  5. Zisaidie ujenzi wa ofisi za kanda?
  6. Zinunue vitendea kazi vya chama.
  7. Zigawanywe kwa viongozi waliohukumiwa.

Maoni yenu tafadhali.

unazipigia mahesabu kama zako hawa mawakili uliwalipa wewe ua unafikiri walifanya kazi bure!
 
Back
Top Bottom