medisonmuta
JF-Expert Member
- Oct 10, 2014
- 2,400
- 1,424
Kama nchi za kikristo, zilivyoruhusu ushoga.Nchi zote za Kiislamu zimeruhusu vitoto vya miaka 9 kuolewa na vibabu vya miaka 60 kwenda juu.
Nchi ya Iraq imepitisha hiyo sheria juzi tu.
Kisa kufuata suna ya mtume wao.
Na tamaa kwa vitoto vichanga.
Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that 'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."
Ruksa kuoa vitoto vichanga vya miaka 6 kama kuiga matendo ya Kioo chao cha Dini.
Kumwiga m'bora wa mitume wao.
Haya ni maandishi ya mwenyezi Mungu au maandishi ya Muhammad?Nchi zote za Kiislamu zimeruhusu vitoto vya miaka 9 kuolewa na vibabu vya miaka 60 kwenda juu.
Nchi ya Iraq imepitisha hiyo sheria juzi tu.
Kisa kufuata suna ya mtume wao.
Na tamaa kwa vitoto vichanga.
Sunan an-Nasa'i 3379
It was narrated that 'Aishah said:
"The Messenger of Allah married me when I was six, and consummated the marriage with me when I was nine."
Ruksa kuoa vitoto vichanga vya miaka 6 kama kuiga matendo ya Kioo chao cha Dini.
Kumwiga m'bora wa mitume wao.
Kwani mtoto ni mtu wa aina gani ?Mtu akibalehe, bado mtoto?
Hoja ni umri wa mtu.Kama nchi za kikristo, zilivyoruhusu ushoga.
Shoga habakwi, ànapenda mwenyewe kufirwa na wakati mwingine wanahonga ili kufirwa.Kama nchi za kikristo, zilivyoruhusu ushoga.
Kwanini lisihusishwe na dini wakati role model wa waislamu alioa katoto ka miaka 6, ila akasubiri na kuanza kula tunda lake kakiwa bado ni katoto ka miaka 9?In short ni ubakaji na si vema kulihusisha hili na dini
Shida kubwa inakuja kwamba mwanzilishi wa dini alifanya hivyo.Ni upumbavu tu hakuna hata haja ya kujadili hoja za kipumbavu! Kufikiri huo upumbavu tu inatosha kukuweka kundi lisilofaa binadamu wenye utimamu wa akili.
Mtoto wa miaka tisa unamfikiraje kama mke? Pathetic!
alipewa mimba na naniMariamu alichumbiwa akiwa na miaka 9, akabeba mimba ya yesu akiwa na miaka 12
Acha ubakaji wa vitotoWewe Sio muislamu
Wewe si muislamu endelea na ukafir wakohata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
kwani Allah alikua anaandika kwa mkono au Muhamad ndio anawahadithia aliyoambiwa na AllahHaya ni maandishi ya mwenyezi Mungu au maandishi ya Muhammad?
kwakuwa amekataa idea ya kuoa vitoto vya miaka sita ndio anakua kafiri duh kweli hiyo dini na ovyoWewe si muislamu endelea na ukafir wako
Niamini mimi mkuu. Tukikuambia ulete ushahidi wa exactly aliposema hivyo utaishia kujambajamba tu.Upande mwingine papa anasema mdinyane miduku wanaume kwa wanaume na mnabarikiwa sasa si bora utulie huko uliko
Mkuu unaweza kumuozesha mtoto wako wa kike wa miaka 9?Ukishakuwa na mashaka na Imani yako wewe usijihesabu kama ni Muislamu.. sheria ya dini inasema anapovunja Ungo anafaa kuolewa.. hatuaelekezwa Miaka..
Akiweka huo mstari niite Kasongo nimekaa pale.Ukiweka na mistari inayotaja haya unayoyasema itakuwa njema