Mtoto kuolewa miaka tisa sio lazima kwasababu anatakiwa kusoma ni maamuzi ya mzazi wake, lakini ruhusa yake iko waziSuhendra, mtoto wa miaka 9 akiolewa, shule anakuwa amesoma muda gani?
Au kwenye uisilamu mtoto wa kike hatakiwi kusoma?
Sio kweli.Mariamu alichumbiwa akiwa na miaka 9, akabeba mimba ya yesu akiwa na miaka 12
Mimi hata ukiniita 'Kafuru' sawa tu, maana ndiyo majina ya kuudhi mnayofundishwa huko, ili kuleta utengano na chuki, dhidi ya binadamu.Usinifundishe jinsi ya kuita wewe kafiri. Vatican papa anajilia kimya kimya kesi kibao huko bila ridhaa zao.
Acha kuleta ufafanuzi uchwara hapa.Suala la Mtume swalla llahu allaihi wa sallam- kumuoa bi Aisha katika umri ambao unaonekana mdogo, hutakiwi kulitazama na akili iliyokuwa programmed namna ya kufikiria.
Bali unatakiwa ufikirie kwa akili salama amabayo haijaathirika na fikra hasi.
Ukilitaza suala hili kana kwamba Mtume alimuoa bi Aisha kwa lengo la kukidhi matamanio yake ya kingono, basi lazima utaliona suala hili ni batili.
Bi Aliolewa kwa maslahi mapana, ndio maana baada ya kufa Mtume swalla llahu allaihi wa sallam- bi Aisha alimaliza umri wake katika kufundiaha watu sunnah za Mtume, na Bi Aisha ndiye mke wa Mtume ambaye amesimulia hadithi nyingi za Mtume kuliko mke yoyote wa Mtume.
Hilo suala halipo kama wengi wanavyolitazama.
Sasa kama watu watanogewa tu kuoa wa miaka 9 watabaki kusoma wangapi?Mtoto kuolewa miaka tisa sio lazima kwasababu anatakiwa kusoma ni maamuzi ya mzazi wake, lakini ruhusa yake iko wazi
Hakuna cha kujificha wala nini kuna test nyingi zilizowekwa kwenye quran kuhusu nsoa na nani anafaa kuolewa ,ndio maana hukuti nchi za kiislamamu kama saudi arabia au qatar kuna mambo hayo unayosema soma dini imeelezea kila kitu bila ya shaka yoyoteacheni kujificha kwenye kivuli cha kuvunja ungo,maumbile ya binadamu yanatofautiana katoto ka miaka saba kanaweza kuvunja ungo huku bado hata chuchu hakina ,nyonga hazijakomaa,akili haijakuwa wala nguvu za kuhimili kuingiliwa na mtu mzima hana na shule ndio atakua darasa la kwanza ,unawezaje kuoa hako katoto kwa kuwa tu mtume wako alifanya hivyo.kufanya hivyo kunaweza kupelekea kumuharibu vibaya huyo mtoto via vyake vya uzazi ,nadhani hata huyo aisha ambaye ndio rolemodel wenu kwenye haya hajaweza kuzaaa katika maisha yake yote
hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Mbona Iraq walikubali watoto wa miaka 9 aolewe? Au Iraq siyo nchi ya kiislamu?Hakuna cha kujificha wala nini kuna test nyingi zilizowekwa kwenye quran kuhusu nsoa na nani anafaa kuolewa ,ndio maana hukuti nchi za kiislamamu kama saudi arabia au qatar kuna mambo hayo unayosema soma dini imeelezea kila kitu bila ya shaka yoyote
Kwahiyo mtume alienda kinyume na maandiko alipo oa mtoto wa miaka tisa?Weka aya au hadith inayosema uoe binti wa miaka 9
Mkuu mimi naiheshimu dini yenu ila kwenye hili swala naona kama mwanamke anachukuliwa kama sex toy na asiyekuwa na maamuzi kuhusu mwili wake. Mtoto wa miaka tisa hata bado hajabalehe na kupevuka kiakili halafu aingie kwenye ndoa hii sio haki.Kama kioo chao dini Mtume wa Allah alioa katoto ka miaka Sita na kukaingilia kimwili kakiwa na miaka 9.
Basi ni ruhusa kwa kila mwislamu kuiga matendo ya mtume wao.
Waislamu wanao kataa huu utaratibu sio Waislamu kamili.
Muhammadi ndio kiongozi wao wa kuigwa kwa kila alicho kifanya.
Wako baadhi wanapata hedhi miaka 9 na kuendelea.Mtoto wa miaka 9 anapata hedhi?
Na kwani mtoto akipata hedhi tayari anakuwa mtu mzima?
Labda tuongee taratibu, kuna faida gani kuozesha mtoto mdogo?
Hiyo sheria haipo Tanzania na huku wanapo tumia hiyo sheria na mifumo yao ya elimu tofauti na sisi.Sasa kama watu watanogewa tu kuoa wa miaka 9 watabaki kusoma wangapi?
Huoni kuwa ni vyema zaidi mtoto akiachwa asome kwanza?
Tusipende kukurupuka unaposikia jambo lifanyie uchunguzi kwanza ujue aliyepitisha ni nani na kwa sababu zipi , halafu siyo kila muarabu ni muislamu ndio maana unaona leo syria wameweka christmas kama public holiday na. Lebanon miaka yote raisi lazima awe mkristoI
Mbona Iraq walikubali watoto wa miaka 9 aolewe? Au Iraq siyo nchi ya kiislamu?
Ndio tunauzungumzia huo utofauti wa mifumo yao.Hiyo sheria haipo Tanzania na huku wanapo tumia hiyo sheria na mifumo yao ya elimu tofauti na sisi.
Hakuna wa kukufafanulia, wewe kuwa hivo hivo, maana Hakuna anayefaidika na wewe kuwa muislam au kafir Zaid ya kwako mwenyewehata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
AISEEE..!! DEFINITION YAKO YA UKUBWA NI MBAYA SANA.!! Hivi, mtoto wako wa kiume ataowa akiwa na umri gani?
Kabisa aiseeSiyo binti, ni mtoto.
Miaka 9 hajawa binti.
Sijitambui wewe ndie unajitambua kukubali waziniwe ila wasioleweNdio tunauzungumzia huo utofauti wa mifumo yao.
Tunaona kwamba, mifumo yao inahalalisha ubakaji, na pia inanyima fursa ya elimu kwa mtoto wa kike.
Hakuna utetezi wa aina yeyote hapo, mtoto wa miaka 9 akiolewa anakuwa amenyima fursa ya kusoma shule, na wewe unaunga mkono hilo? How?
Mbona wewe ni kama mtu unaejitambua!