Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Shida wanaozwa kwa vibabu vya miaka 50 plus.Mkuu mimi naiheshimu dini yenu ila kwenye hili swala naona kama mwanamke anachukuliwa kama sex toy na asiyekuwa na maamuzi kuhusu mwili wake. Mtoto wa miaka tisa hata bado hajabalehe na kupevuka kiakili halafu aingie kwenye ndoa hii sio haki.
Sasa si ubakaji huo, Dini inayoruhusu ubakaji wa mtoto wa miaka 9 inabidi uwe nayo makini sana..Uislamu unataka mwenye uwezo wa kuoa au kuolewa aoe, hakuna umri
Ila mnavyo wazini ni sawa tu.Sasa si ubakaji huo, Dini inayoruhusu ubakaji wa mtoto wa miaka 9 inabidi uwe nayo makini sana..
Makobazi wananyatia bikra kwa kubaka vitoto RubbishKwani mtume na yeye si alioa kibinti cha miaka 9? Kwani uongo ndugu zangu?
Tatizo ni ushabiki lakini kiuhalisia wala hakuna tatizo.Tuambie wapi sharia ya miaka9!
.
Nani ni mtunzi wa sheria ninini.hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Ktk tawala za kidemokrasia wengi hutunga sheria.
Utamaduni wa kuoa, lila jamii ina umri wake. Huwezi mlazimisha jamii nyingine kufata utamaduni wako.
Sheria kama ya yesu kufa msalabani dhambi unaofanya wewe ni rediculas. Yaani ushenzi unafanya wewe na gigi halafu yesu ateseke kwa dhambi zako. Kwa utamaduni wa wengine hilo jambo ni mzaha. Lkn kwa wengine ni sheria na tanaduni.
Wale waathiriwa wa utamaduni wa paulo kwa kiasi kikubwa mnaona ni jambo la kawaida kwa mwanamme kumuoa mwanamme. Lkn ni kosa kwa mwanamme kumuona mwanamke anaeweza kupata mimba.
Kama kitendo hichi si cha kibinadamu, kwann mbuzi hapendi mbuzi ila kwanza kuvunja ungo.
Nchi zenye kuathiriwa na mafunzo Prof Paule watakubaliana nami kuona ni jambai la kawaida.
Lkn nchi za kiislam zina sheria hizi
Hakuna anae bakwa ili ndoa ifanyike ni lazima ruksa itoke kwa mzazi, labda wewe utuambie una uchungu kuliko mzazi mwenye mtoto wakeSasa si ubakaji huo, Dini inayoruhusu ubakaji wa mtoto wa miaka 9 inabidi uwe nayo makini sana..
Hakuna anae bakwa ili ndoa ifanyike ni lazima ruksa itoke kwa mzazi, labda wewe utuambie una uchungu kuliko mzazi mwenye mtoto wake
AISEEE..!! DEFINITION YAKO YA UKUBWA NI MBAYA SANA.!! Hivi, mtoto wako wa kiume ataowa akiwa na umri gani?
Mtume mudi alifanya hivyo kabinti ka'miaka 6Basi nionyeshe hadeeth au Aya ya Qur"an inao kubali mtoto wa miaka tisa kuolewa.
Ndoa sio lazima akubali mtoto ndio maana Yakobo alioa mtu na dada yake, Ndoa mzazi anaweza chagua nani aoe mwanae , uislamu umetoa ruksa unaweza kumuoa binti kisha akibalehe unajichukulia mkeo , hakuna shida yeyote, Hoja ya masikini na tajiri haina mashiko kwasababu ndoa ni kwa woteWengi wanaoozesha vitoto ni familia maskini inayo toa mtoto kama chambo cha kupata mtaji wa mahari.
Mtoto anawezaje kukubali kuolewa akiwa na miaka 9 wakati hata hamu ya tendo la ndoa hana ?
Ni kwamba wazazi wanalazimisha vitoto kuolewa na wenye pesa bila hiari ya mtoto mwenyewe.
Ndoa halari kwanza iwe kati ya watu wazima wanaojitambua.
Pili mwoaji na mwolewaji wakubaliane kuoana kwa ridhaa yao.
Tatu waombe ruhusa ya wazazi wao kuruhusu wao kuowana.
Nne hapo Dini ninafungisha ndoa.
Mzazi kuruhusu mtoto kuolewa bila ridhaa yake ni ukiukwaji wa haki za binadamu.
Iwe kwa mtoto au mkubwa.
Huwezi kukuta Binti Mfalme au mtoto wa mtu tajiri au msomi akiozeshwa katika umri wa miaka 6 au 9.
Hiyo sheria ina lenga kununua vitoto vidogo kwa watu masikini ili wavibikiri.
Hovyo sana hii kitu!hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
We uliona wapi mtoto wa familia inayojitosheleza kiuchumi inaoza mtoto wao wa miaka 9, badala ya kumpeleka shule.Ndoa sio lazima akubali mtoto ndio maana Yakobo alioa mtu na dada yake, Ndoa mzazi anaweza chagua nani aoe mwanae , uislamu umetoa ruksa unaweza kumuoa binti kisha akibalehe unajichukulia mkeo , hakuna shida yeyote, Hoja ya masikini na tajiri haina mashiko kwasababu ndoa ni kwa wote
Binadamu waliishi kabla ya hizi shule, mtoto wa kike akibalehe alikuwa anaozwa tu bila kujali umri wake , suala la NDOA ni maamuzi ya mzazi sio binti , shida yako ni kulinganisha maisha ya sasa na maisha wakati maandiko yanatoka, hata Mariam alikuwa bikra na alikuwa binti mdogo sana lakini tayari alisha chumbiwa na Joseph ambaye alikuwa na mkubwa sana kwake, hoja yako haina mashaka kwa nyakati za maandiko, ukiangalia wayahudi hata kwenye UKOO watoto wa kike walikuwa hawawekwi kwasababu wakibalehe wanaenda uko kwa waume zaoWe uliona wapi mtoto wa familia inayojitosheleza kiuchumi inaoza mtoto wao wa miaka 9, badala ya kumpeleka shule.
Familia masikini tu ndio zinafanya huo ujinga ili kujikimu mahari.
Ulisha sikia Binti mfalme kaozwa akiwa na miaka 9 ?
Toka tu ukatafute Imani inayolingana na akili yako ndogo, wewe huna faida yoyote katika uislamu na ukitoka uislamu haupungikiwi na chochote! Ujinga wa muda mrefu wa kutoisoma dini ndio ulioifanya akili yako kuwa sawa na akili za makafiri.hata kama binti awe na mwili mkubwa bado miaka 9 ni midogo sana kuolewa.
Mwenye elimu anifafanulie unless otherwise natafuta upande mwingine ambao ntaona Sahihi kwa hili hapana wafuasi wa waarabu tunafeli.
Pia soma
- Kupitisha sheria ya ndoa kuwa miaka 9 ni aina fulani ya upungufu wa akili
Right Nerve!Kwa Nini hasa una mashaka?
Wape elimu waislamu wenzako juu ya mashaka yako.
Je, na watoto wa kiume nao wanaruhusiwa kuoa wakiwa katika umri huo huo wa miaka tisa?
Mariamu alichumbiwa akiwa na miaka mingapi ?Binadamu waliishi kabla ya hizi shule, mtoto wa kike akibalehe alikuwa anaozwa tu bila kujali umri wake , suala la NDOA ni maamuzi ya mzazi sio binti , shida yako ni kulinganisha maisha ya sasa na maisha wakati maandiko yanatoka, hata Mariam alikuwa bikra na alikuwa binti mdogo sana lakini tayari alisha chumbiwa na Joseph ambaye alikuwa na mkubwa sana kwake, hoja yako haina mashaka kwa nyakati za maandiko, ukiangalia wayahudi hata kwenye UKOO watoto wa kike walikuwa hawawekwi kwasababu wakibalehe wanaenda uko kwa waume zao