Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Neno "Mwanamke" linamaanisha mtu wa jinsia ya kike katika jamii ya binadamu. Kwa maana ya jumla, mwanamke ni mtu mzima wa kike, tofauti na msichana ambaye ni mtu wa jinsia ya kike lakini bado ni mchanga au hajafikia utu uzima.
Mwanamke ana nafasi muhimu katika jamii, ikiwa ni pamoja na jukumu la kijamii, kifamilia, kiuchumi, na hata kisiasa. Pia, neno hili linaweza kutumiwa kuelezea utu, maadili, na tabia zinazohusishwa na jinsia ya kike. Tafsiri ya neno hili inaweza kubadilika kulingana na muktadha wa kitamaduni au kijamii.

" Hayo ni maelezo chatgb kuzaa haimanishi msichana ni Mwanamke na ndio maana wengi wanapata complication za uzazi katka umri huo'
 
Mzazi akibariki ubakaji, inaacha kuwa ubakaji? Mtoto wa miaka 9 hana uwezo wa kukubali wala kukataa, hivyo ni ubakaji….
 
Jibu swali langu mkuu kama hauna jibu kausha na sio kunuliza tena maswali ambayo ulitakiwa umuulize Mtume.
Neno "Mwanamke" linamaanisha mtu wa jinsia ya kike katika jamii ya binadamu. Kwa maana ya jumla, mwanamke ni mtu mzima wa kike, tofauti na msichana ambaye ni mtu wa jinsia ya kike lakini bado ni mchanga au hajafikia utu uzima.
Mwanamke ana nafasi muhimu katika jamii, ikiwa ni pamoja na jukumu la kijamii, kifamilia, kiuchumi, na hata kisiasa. Pia, neno hili linaweza kutumiwa kuelezea utu, maadili, na tabia zinazohusishwa na jinsia ya kike. Tafsiri ya neno hili inaweza kubadilika kulingana na muktadha wa kitamaduni au kijamii.
 
Neno "Mwanamke" linamaanisha mtu wa jinsia ya kike katika jamii ya binadamu. Kwa maana ya jumla, mwanamke ni mtu mzima wa kike, tofauti na msichana ambaye ni mtu wa jinsia ya kike lakini bado ni mchanga au hajafikia utu uzima.
Mwanamke ana nafasi muhimu katika jamii, ikiwa ni pamoja na jukumu la kijamii, kifamilia, kiuchumi, na hata kisiasa. Pia, neno hili linaweza kutumiwa kuelezea utu, maadili, na tabia zinazohusishwa na jinsia ya kike. Tafsiri ya neno hili inaweza kubadilika kulingana na muktadha wa kitamaduni au kijamii.

" Hayo ni maelezo chatgb kuzaa haimanishi msichana ni Mwanamke na ndio maana wengi wanapata complication za uzazi katka umri huo'
Huyu alivunja ungo akiwa na miaka mingapi?

Ndoa ilikuwa ni amri ya mzazi sio suala la mtoto mbona nimesha kuelezea , mtoto wa kike hakuwa na maamuzi kwenye kuolewa yeye ni KUTII tu
Ndoa ni ngono na kuzaa, mtoto wa miaka 9 mwili na akili yake haviko tayari kufanya mgono na kuzaa, wala akili haipo tayari kulea watoto na kutunza mume. Hana uwezo wa kukubali wala kukataa, mzazi anaeruhusu ubakaji ni mbakaji pia..

Nasemaga siku zote humu, mtu akishakuwa muislam, hata awe proffessor, reasoning yake haina tofauti na mtoto wa darasa la nne, unadhirisha hilo kwa arguement zako za kitoto kabisa..
 
Huyu alivunja ungo akiwa na miaka mingapi?

Kuvunja uongo haimanishi ndio ushakua Mwanamke nimeangalia tafsiri mwanamke ni ADULT Hilo pekee lanamtofautisha na GIRL ni vitu viwili tofauti Quran 4 inazingumzia al NiSAA' ( mwanamke) na sio Girl au msichana na yamezungumzwa mambo ya contract humo ambapo mtoto mdogo hawezi kuingia mkataba hilo liko wazi hata kwa sheria za sasa
 
Ndoa ni ngono na kuzaa, mtoto wa miaka 9 mwili na akili yake haviko tayari kufanya mgono na kuzaa, wala akili haipo tayari kulea watoto na kutunza mume. Hana uwezo wa kukubali wala kukataa, mzazi anaeruhusu ubakaji ni mbakaji pia..

Nasemaga siku zote humu, mtu akishakuwa muislam, hata awe proffessor, reasoning yake haina tofauti na mtoto wa darasa la nne, unadhirisha hilo kwa arguement zako za kitoto kabisa..
Hakuna mahali Uislam unaruhusu msichana kuolewa unless kwa wale wasio soma na kuujua Uislamu
 
Ndoa ni ngono na kuzaa, mtoto wa miaka 9 mwili na akili yake haviko tayari kufanya mgono na kuzaa, wala akili haipo tayari kulea watoto na kutunza mume. Hana uwezo wa kukubali wala kukataa, mzazi anaeruhusu ubakaji ni mbakaji pia..

Nasemaga siku zote humu, mtu akishakuwa muislam, hata awe proffessor, reasoning yake haina tofauti na mtoto wa darasa la nne, unadhirisha hilo kwa arguement zako za kitoto kabisa..
Haya malalamiko au hoja, nimekupa jibu la wazi kuwa ndoa ni suala la mzazi hakuna anaekulazimisha , Uislamu hauja taja umri wa kuoa , uislamu umetaja mtu ambaye amevunja unga hata awe na mwaka huyo anaweza kuhudumia ndoa, pia imetoa nafasi kuwa unaweza kuoa binti kisha ukasubiri akivunja unaanza kutekeleza majukumu ya ndoa sasa hapo shida iko wapi? wewe na uprofesa si umekubali kuamini kuwa Mungu wako Yesu alikuja duniani atundikwe msabani na kuteswa, na binadamu alio waumba mwenyewe ili awaokoe binadamu hao hao , kwa akili hizi wewe ni profesa mzuri sana
 
Kuvunja uongo haimanishi ndio ushakua Mwanamke nimeangalia tafsiri mwanamke ni ADULT Hilo pekee lanamtofautisha na GIRL ni vitu viwili tofauti Quran 4 inazingumzia al NiSAA' ( mwanamke) na sio Girl au msichana na yamezungumzwa mambo ya contract humo ambapo mtoto mdogo hawezi kuingia mkataba hilo liko wazi hata kwa sheria za sasa
Hao waliokupa tafsiri ndio hao hao wanaosema mashoga na wasagaji wana haki ya kuandamana na kutangaza ushoga wao, kanuni ya asili ya ndoa ni kuvunja ungo tuu hakuna umri wa kuoa kwenye maandiko , ndio maana watoto wa kike hata kwenye ukoo walikuwa hawapo maana wanajua wataolewa,,maisha ya sasa sio yale ya zamani
 
Hii ni tofauti ya msichana na mwanamke kwa maelezo ya Chatgpt

Tofauti kuu kati ya msichana na mwanamke inahusiana na umri, ukomavu, na hatua ya maisha:
  1. Umri:
    • Msichana: Huyu ni mtu wa jinsia ya kike ambaye bado ni mchanga au hajafikia utu uzima. Hii inaweza kuwa kipindi cha utoto hadi ujana (kabla ya kubalehe au wakati wa kubalehe).
    • Mwanamke: Huyu ni mtu wa jinsia ya kike aliyefikia utu uzima, kawaida baada ya balehe na kuendelea.
  2. Ukomavu wa Kimwili:
    • Msichana: Mwili wake bado unakua, na hajakamilisha hatua zote za ukuaji wa kimwili kama mtu mzima.
    • Mwanamke: Mwili wake umekamilisha ukuaji wa kimwili, ikiwa ni pamoja na mabadiliko ya kibaolojia kama kupata hedhi na uwezo wa kuzaa (kwa walio na afya ya kawaida).
  3. Ukomavu wa Kijamii na Kihisia:
    • Msichana: Anaweza kuwa bado hajapokea majukumu makubwa ya kijamii au ya familia, na maamuzi yake mara nyingi yanategemea watu wazima (kama wazazi au walezi).
    • Mwanamke: Ana uwezo wa kujitegemea, kufanya maamuzi ya kijamii, kifamilia, au kiuchumi, na mara nyingi anachukuliwa kama mtu mwenye majukumu katika jamii.
  4. Muktadha wa Kitamaduni na Kijamii:
    • Katika baadhi ya tamaduni, msichana ni jina linalotumika kwa wanawake wa umri mdogo hata kama wamekomaa kimwili, lakini bado hawajaoa au kuchukua majukumu ya utu uzima.
    • Mwanamke, kiasili, anachukuliwa kama mtu aliyekomaa kiumri, kijamii, au hata kiroho.
Kwa kifupi, msichana ni mtu wa jinsia ya kike aliyeko kwenye hatua za awali za ukuaji wa maisha, ilhali mwanamke ni mtu mzima wa jinsia ya kike aliyekamilisha hatua muhimu za ukuaji na ukomavu.

4o
 
Kwa muktadha wa maandiko hakuna hiki kitu, maandiko yako tofauti hakuna umri wa mwanamke wala mwanaume kuoa au kuolewa, kanuni ya asili ni kuvunja ungo kwa mwanamke na kubalehe kwa mwanaume, haya mengine yamekuja sasa na jamii
 
Haya malalamiko au hoja, nimekupa jibu la wazi kuwa ndoa ni suala la mzazi hakuna anaekulazimisha , Uislamu hauja taja umri wa kuoa , uislamu umetaja mtu ambaye amevunja unga hata awe na mwaka huyo anaweza kuhudumia ndoa, pia imetoa nafasi kuwa unaweza kuoa binti kisha ukasubiri akivunja unaanza kutekeleza majukumu ya ndoa sasa hapo shida iko wapi? wewe na uprofesa si umekubali kuamini kuwa Mungu wako Yesu alikuja duniani atundikwe msabani na kuteswa, na binadamu alio waumba mwenyewe ili awaokoe binadamu hao hao , kwa akili hizi wewe ni profesa mzuri sana
Nami ndio nasema, mtoto wa miaka 9 hana ukomavu wa akili na mwili kuingia kwenye ndoa, hivyo ni ubakaji, na anaebariki ubakaji, awe mzazi au yeyote, ni mbakaji.
 
Upande mwingine papa anasema mdinyane miduku wanaume kwa wanaume na mnabarikiwa sasa si bora utulie huko uliko
Papa ni nani katika Ukristo..?
Je, mwongozo wa imani ya Kikristo ni Papa au Bible..?
 
Nami ndio nasema, mtoto wa miaka 9 hana ukomavu wa akili na mwili kuingia kwenye ndoa, hivyo ni ubakaji, na anaebariki ubakaji, awe mzazi au yeyote, ni mbakaji.
Mumewe atamkomoza, si kavunja ungo maana yake tayari anatengeneza mayai , mume hawezi kumbaka mkewe
 
Kwa muktadha wa maandiko hakuna hiki kitu, maandiko yako tofauti hakuna umri wa mwanamke wala mwanaume kuoa au kuolewa, kanuni ya asili ni kuvunja ungo kwa mwanamke na kubalehe kwa mwanaume, haya mengine yamekuja sasa na jamii
Quran haijatajwa umri lakini wametaja sifa za muolewaji ambapo sio tu kuvunja ungo ni lazima awe mwanamke kamili mtu mzima
 
Mtu mzima maana yake kavunja ungo sio ndevu, imetaja na ukoo wake, dini yake , tena imesisitiza watu waenjoy ndoa kwenye ujana
 
Back
Top Bottom