FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Unataka nini aozeshe sasa kama wewe hutaki?Mimi siwezi ozesha kwa miaka 9 kwasababu zama zimebadilika sasa hivi, wanawake wanasoma na kutafuta hela kama wanaume ila zamani ilikuwa tofauti , ukizaa binti unamkuza aje aolewe elewa nyakati, ila suala NDOA ataolewa tu