Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Mimi ni muislamu, ila Sheria ya kuoa binti wa miaka 9 katika uislamu inanifanya niwe na mashaka na Imani yangu

Niamini mimi mkuu. Tukikuambia ulete ushahidi wa exactly aliposema hivyo utaishia kujambajamba tu.
Wanapokosa hoja ya kujitetea wanaishia kuongea uongo(habari hewa) ili tu kupoteza watu, na hio kwao wameruhusiwa, inaitwa "Taqqiyah"
 
Hizi Ni Sheria Za Wapi Maana Kila Nchi Ina Sheria Zake Zama Google Uangalie Kila Nchi Ina Sheria Zake Za Umri Wa Kuolewa Acha Kukariri,Sheria Zenyewe Zinatungwa Na Warevi.
Hapa tupo nchi gani kwani? Either way , umeona chini ya miaka 16 katika nchi yeyote isiyo ya kiislam?
 
Tatizo ni ushabiki lakini kiuhalisia wala hakuna tatizo.

Ila kwa kuwa watu wameshakuwa programmed how to think, ndio maana wanaona ni kama jambo la ajabu.

bibi yangu aliolewa akiwa na 13, na hiyo ni just 65 years ago. watu wamelewa sana na umagharibi mkuu
 
Biblia inaonyesha siku ileile ambayo Hawa alitoka kwenye ubavu wa Adamu, ndio siku ambayo Mungu alimuozesha kwa Adamu. Maana yake ni kwamba Adamu alimuoa Hawa akiwa ana umri wa siku 1!
 
sharti kuu la kuoa awe amebalegh, haijaalishi umri gani anao. Hiyo miaka 9 imekadiriwa maana ndio umri ambao baadhi ya watoto wa kike wanaanza ku balegh
Kubalehe kimwili sio kupevuka kiakili mtoto ni mtoto tu.
 
Sheria za Uislamu ni sheria zilizotoka kwa Allah subhaanah, hivyo kwa muumini jambo la kwanza kabisa linalompasa ni kujisalimisha na kunyenyekea kwa yale aliyoamrishwa, sawasawa yanaafikiana na upeo wake wa akili au laa.

Kwa sababu translation ya kuzipinga na kuzikosoa sheria za Allah ni kwamba wewe unaamini akili yako inaukamilifu kuliko hekma ya Allah

Tuje kwenye shaka uliyonayo
Unapo pokea dini/mafushindo bila kutumia common sense ndo tunapata watu kama nyie, msiotumia akili wala hekima kufikiria juu ya mambo mnayo hadithiwa, mnakariri kama yalivyo bila kufanya reasoning, huyo allah unayemwona ana akili sana anaweza akamwambia mudy dunia ni "flat"? huyo allah unayemwona ana akili sana hadi aka abolish adoption ili tu mudy amuoe mke wa Zayd baada ya kumtamani?
Huyo allah mwenye hekima sana, aliona ni vizur amruhusu mudy ambaye ni mfano kwenu aoe wake zaidi ya 10, mara 3 zaidi ya idadi aliyoruhusu wafuasi wake waoe?

WITHOUT REASONING ANYTHING CAN MAKE SENSE, EVEN ISLAM
 
Ndoa ni ngono na kuzaa, mtoto wa miaka 9 mwili na akili yake haviko tayari kufanya mgono na kuzaa, wala akili haipo tayari kulea watoto na kutunza mume. Hana uwezo wa kukubali wala kukataa, mzazi anaeruhusu ubakaji ni mbakaji pia..

Nasemaga siku zote humu, mtu akishakuwa muislam, hata awe proffessor, reasoning yake haina tofauti na mtoto wa darasa la nne, unadhirisha hilo kwa arguement zako za kitoto kabisa..
Tatizo mkuu hapa mnalinganisha karne mbili tofauti, mambo ya kufikisha miaka 18 ndio kuhesabika mtu mzima sijui haki za kusoma ni vitu ambavyo havikuwepo karne hiyo.
 
Tatizo mkuu hapa mnalinganisha karne mbili tofauti, mambo ya kufikisha miaka 18 ndio kuhesabika mtu mzima sijui haki za kusoma ni vitu ambavyo havikuwepo karne hiyo.
Rudi karne ya 18 basi, dini inatakiwa iwe consistent milele yote, maana Mungu hawezi kuandika vitu vinavyopitwa na wakati…, kama kinaoitwa na wakati, jua kwa hakika, hakikutoka kwa Mungu, ni tamaa za kimwili tu za akina Mudi ndii zimezua balaa lote hili.., hivi mtoto wa miaka 9 ni wa kumtamani kweli, Kinyaa tupu, ptuuuuu!!, mnatia kinyaa nyie wafuasi wa mudi..
 
Back
Top Bottom