Mishahara imechelewa kutoka, walimu wana maisha magumu sana

Au kuna uchawi unatumika kuwavutia watu?
Kwa upande wa watumishi wengi wa umma kuwa member wa NMB ni hofu tu , wengi wanaamini ukiwa NMB ndio utapata mikopo na ukiwa nje ya NMB hata mshahara hutalipwa
 
dah crdb wengine wamepata wengine hatujapata sijui shida nini?
 
Kiafya. Mimi nyumbani kwangu nyama ni mara mbili Kwa wiki. Moja mchuzi katikati ya wiki nyingine pilau juma pili. Huku kati ni mwendo wa Dagaa, maharage, kabichi, etc.
MKUU SAMAKI UNAKULA LINI?
Kitu ambacho nimefeli maishani mwangu ni kujiwekea bajeti ya chakula mfano Jumatatu nitakula kitu fulani kwa kiasi hiki au niwekee kiasi fulani kwa ajili ya matumizi ya mwezi mzima?
 
Au kuna uchawi unatumika kuwavutia watu?
Kwa upande wa watumishi wengi wa umma kuwa member wa NMB ni hofu tu , wengi wanaamini ukiwa NMB ndio utapata mikopo na ukiwa nje ya NMB hata mshahara hutalipwa
Suala la watumishi wengi wa serikali kuwa NMB ni kwamba hapo awali hadi kwenye miaka ya 2010, CRDB haikuwa na matawi mengi hasa wilaya zilizoko pembezoni hivyo ilikuwa mtumishi anapoajiriwa akiambiwa afungue akaunti lazima ataenda NMB kwasababu ndiyo benki pekee iliyopo....sasa angalau CRDB wamefika wilaya nyingi na watumishi wengi wanahamisha akaunti zao za mishahara kwenda huko.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…