Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #261
Kura yangu nawapa washiriki wote ni wazuri sana nikitoa kwa upendeleo Itakuwa sio uchaguzi wa haki kama wanavyofanya kile chama cha kijani wote ni wachangiaji wa wazuri sana wa mada hapa jukwaani
Wanajisevia minyama tu, wengine wamebaki kusifia kama mazuzu, nimecheka sana๐๐๐
Hivi vigezo vya Miss vimebadilika?
I can imagine some of them ni mafurushi. Catwalk zao zinahitaji heels zenye unene wa nchi saba.
Mamiss used to be portable, soft skin, miguu ambayo vijana huita ya bia, nk
Hebu fikiria tu Litukunyema Faiza likipita, Yesu wangu!.....
Utachekwa sana, yaani bibi Fai kabisa๐๐๐Ukiwa unamiliki vitu vizuri huoni shida kusifia vizuri vingine vinavyomilikiwa na wengine.
Ukiwa unamiliki vibovu au hauna unachomiliki huwezi sifia vizuri zaidi ya kuviponda kwa sababu huna na hujawahi kuwa navyo
Jmn Kuna nn Tena ๐คฃ๐คฃHapa ndipo huwa tunatolewa mapema kwenye mashindano ya nje.
Hii list uliipataje? Ukaacha warembo wazuri kama
1. Tayana-wog
2. Joanah
3. @L
4.@A.
Hapo yupo mmoja tu Demi
Bench la ufundi msimuingilie kocha kwenye usajili au kuita wachezaji
๐๐๐Jmn Kuna nn Tena ๐คฃ๐คฃ
Jf Ina mambo
Wanasaka miss my...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Jmn Kuna nn Tena [emoji1787][emoji1787]
Jf Ina mambo
Utachekwa sana, yaani bibi Fai kabisa๐๐๐
vizee vingine bhana๐qumammyo
Nikikukuta mbinguni nakuchomoa ๐คฃ๐คฃ
Depal wewe...Aunt Faiza [emoji3060]
Hao wengine sina uhakika kama ni wadada..
Huwajui wabongo wewe, ukikua utafuta kauli.Huoni anakimbiza kwenye kura huko
Sio ajabu ukashangaa akawagaragaza hao wengine unaowaona ni warembo.
Hata ni mashindano lolote laweza kutokea. ๐๐
Tatizo la Watu wenye stress za Maisha huleta stress zao kwenye mitandao ya kijamii.Ila jf ,mambo mengi sana! Mara paap unakuta lucas mwanshambwa naye ni maza mmoja hivi, mama ntilie huko sitimbi kijijini
Makubwa ๐ณWanasaka miss my...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huwajui wabongo wewe, ukikua utafuta kauli.
Bongo kitu kizuri utasikia...mbaya kinomaa.
Mweusi huitwa cheupe๐๐๐
HahahaaDepal wewe...
Mi mdada jamani...
Tena mvaa magauni[emoji1787][emoji1787][emoji1787]