Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?


  • Total voters
    225
  • Poll closed .
campaign manager mbona unakata tamaaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
kuongoza ligi mfululizo sio ushindi ..tunataka Msimamo wa siku ya mwisho. Hizo siku nne ni week days watu wapo busy na shughuli za za kimaendeleo wewe huna kazi ndio maana ulikuwa unapiga kampeni...
Watu wamekuja weekend hii na comeback.
unakuwa kama arsenal bhna kujisifia kuongoza ligi na ubingwa hauchukui..

haya mchukue huyo mshiriki wako mkapongezane kuongoza ligi kwa siku 4
 
Jamaa ana chekesha huyoπŸ˜‚πŸ€£
 
yaan wewe na mshiriki wako mmeshindwa na mtu ambaye hata haji kinachoendelea...duuuhh

kumbe hata tungeweka huyo mshiriki wako ashindane na jiwe tena wewe ukipiga kampeni ila jiwe lingeshindaa
 
Mnamkosea faizafox heshima hata kama tunatofautiana mawazo hii si sawa.ila natumai ni utani na udugu tu
 
Mnamkosea faizafox heshima hata kama tunatofautiana mawazo hii si sawa.ila natumai ni utani na udugu tu
hapa hakuna u serious...ila ni sehem ya kuchangamsha jukwaa ila kuna jamaa GENTAMYCINE linatukera linachukulia mambo serious na kudharau wengine kumpigia kampeni mtu wake...
wakati anachangiaga utumbo tu humuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…