Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Kama Leejay49 ameongoza kwa Siku Nne ( 4 ) mfululizo hadi hii leo ya mwisho hata kama asiposhinda Yeye na akashinda huyo Mwingine bado Kwangu Mimi Mshindi wangu atakuwa ni Leejay49 tu.

Na labda nikusaidie tu kuwa kama kuna Mtu ambaye wala hakutegemewa kuwa angepata Kura nyingi hizi na Kuongoza kwa hizo Siku Nne ( 4 ) mfululizo basi ni Dada yangu Leejay49 na badala yake kuna Magwiji Wawili ndiyo walikuwa Wanategemewa na Wanajiamini kuwa ndiyo Wangeongoza kutokana na Umaarufu wao mkubwa hapa JamiiForums.

Leejay49 hata haya Matokeo yaweje ila Kwangu Mimi GENTAMYCINE najua kuwa Wewe ndiyo Mshindi Halali wa hili Shindano kwakuwa umekuwa Ukiongoza ( Ukiwatimulia Vumbi Washindani wako ambao hadi leo hawapati Usingizi ) kwa Siku Nne ( 4 ) mfululizo.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.

NIMEMALIZA.
campaign manager mbona unakata tamaa😂😂😂😂
kuongoza ligi mfululizo sio ushindi ..tunataka Msimamo wa siku ya mwisho. Hizo siku nne ni week days watu wapo busy na shughuli za za kimaendeleo wewe huna kazi ndio maana ulikuwa unapiga kampeni...
Watu wamekuja weekend hii na comeback.
unakuwa kama arsenal bhna kujisifia kuongoza ligi na ubingwa hauchukui..

haya mchukue huyo mshiriki wako mkapongezane kuongoza ligi kwa siku 4
 
Jamaa ana chekesha huyo😂🤣
 
Kama Leejay49 ameongoza kwa Siku Nne ( 4 ) mfululizo hadi hii leo ya mwisho hata kama asiposhinda Yeye na akashinda huyo Mwingine bado Kwangu Mimi Mshindi wangu atakuwa ni Leejay49 tu.

Na labda nikusaidie tu kuwa kama kuna Mtu ambaye wala hakutegemewa kuwa angepata Kura nyingi hizi na Kuongoza kwa hizo Siku Nne ( 4 ) mfululizo basi ni Dada yangu Leejay49 na badala yake kuna Magwiji Wawili ndiyo walikuwa Wanategemewa na Wanajiamini kuwa ndiyo Wangeongoza kutokana na Umaarufu wao mkubwa hapa JamiiForums.

Leejay49 hata haya Matokeo yaweje ila Kwangu Mimi GENTAMYCINE najua kuwa Wewe ndiyo Mshindi Halali wa hili Shindano kwakuwa umekuwa Ukiongoza ( Ukiwatimulia Vumbi Washindani wako ambao hadi leo hawapati Usingizi ) kwa Siku Nne ( 4 ) mfululizo.

Kwanini GENTAMYCINE nampenda na namkubali sana na mno Member Leejay49?

1. Ni Mrembo hakuna mfano
2. Ni Mwerevu wa uhakika
3. Ni Mstaarabu wa Kutukuka
4. Hana Dharau
5. Ni Mkarimu
6. Hana Majungu, Chuki na Wivu
7. Siyo Mnafiki na Mzandiki

Tafadhali TEAM GENTAMYCINE wote na Wengine mpeni Kura zenu nyingi mno Leejay49 ili aibuke Mshindi wa Shindano la Mrembo wa JamiiForums kwa mwaka huu wa 2023.

Kila la Kheri Leejay49 utashinda tu.

NIMEMALIZA.
yaan wewe na mshiriki wako mmeshindwa na mtu ambaye hata haji kinachoendelea...duuuhh

kumbe hata tungeweka huyo mshiriki wako ashindane na jiwe tena wewe ukipiga kampeni ila jiwe lingeshindaa
 
Mnamkosea faizafox heshima hata kama tunatofautiana mawazo hii si sawa.ila natumai ni utani na udugu tu
 
hapa hakuna u serious...ila ni sehem ya kuchangamsha jukwaa ila kuna jamaa GENTAMYCINE linatukera linachukulia mambo serious na kudharau wengine kumpigia kampeni mtu wake...
wakati anachangiaga utumbo tu humuu
 
Back
Top Bottom