Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

  • Total voters
    225
  • Poll closed .
Kwema Wakuu!

Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humuwengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo.

Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu ingetokea tuzo ya u-miss JF angeshinda kwa mwaka 2023?

Wagombea ni kama ifuatavyo
1@Kalpana
2 To yeye
3. amu
4. Nifah
5. Leejay49
6. Lovebird
7. Donatila
8. FaizaFoxy
9. Mrs Besyige
10. Depal
11. Demi

Miss JF 2023. Ameng'arisha
Asiposhinda Leejay49 niliyempigia Kura yangu ya Kutukuka nitaamini Wachawi hawajaisha duniani. Yaani GENTAMYCINE nikukubali halafu Wengine wasikukubali?

Ninachompendea huyu Dada hana Majungu, siyo Mnafiki, ni Mwerevu na Kubwa zaidi ni Mrembo na very Photogenic indeed.

Kila la kheri Kwake na namwombea kwa Mwenyezi Mungu ( Allah ) ashinde Yeye na atashinda tu Inshaallah / Amen.
 
Thubutu!
Labda Faiza ajiengue
 
Wanawake wa jamiiforums wengi ni wagumu hamna pisi kali wala miss hapo.
Ni ngumu kukuta pisi kali kwanza inaijua jamiiforums.
Research yangu ni kutokan na wanawake wengi pisi kali ukiwatajia jamiiforums kwanza wanashangaa

Tunaakisi tu uzuri wa mtu hapa kwa jina na dp za uongo ambazo 99.9999% si zao asilia..
Ukitaka kuakisi uzuri wa wanawake wa jamiiforums jenga picha ya wale wadada waliokuwa mashule shule.. maviongozi...huko tunapoishi nao
 
Back
Top Bottom