Mjini Dar es salaam, sifa ya mwanaume ni kulewa wikendi na kutazama mchezo mikubwa

Dar ina watu

Na huo ndyo mtindo wa maisha ya vijana wengi hapa town
Dar ina watu wengi sana sio kila mtu anapenda hiyo starehe sio wanaume wote wengine hata kwenda bar tu hawapendi.
 
Umeharibu hapo tu kuingiza udini,tena umewajumuisha waislamu wote!

Wapo baadhi ya waislamu pia wanakunywa pombe,uislamu sio kua na jina tu kukufanya uwe muislamu,

Uislamu ni imani,pamoja na matendo yako,ukiwa huna hayo,unakua umejitoa kwenye dini.
 
Umeharibu hapo tu kuingiza udini,tena umewajumuisha waislamu wote!

Wapo baadhi ya waislamu pia wanakunywa pombe,uislamu sio kua na jina tu kukufanya uwe muislamu,

Uislamu ni imani,pamoja na matendo yako,ukiwa huna hayo,unakua umejitoa kwenye dini.
Umeandika madini Sanaaa na wala haujawa biased
 
Wanaume wa Bongo, watakufa vipira na pump vimetepetaa "pweee"
Sio kwa heka heka wanazokumbana nazo, khaaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
bomba linakuja kaa tayari
 
Tafuta hela, pia tenga muda wa kutumia sehemu ya pesa yako.
 
Si kweli, niko deep sea navua samaki na boti yangu, Kwa mbali nimeona sailing boats kama tatu zimepita hapa moja yanne jamaa wananiambia wanakwenda Mombasa weekend japo ni wamanga, wote wamenipita mida ya saa mbili asubuhi, leo sina hobie ya kusafiri mbali nipo toka jana usiku maeneo ya deep sea usawa wa Bagamoyo.


Unafikiri mtu aliyefanya kazi kwa bidii 5xdays, weekend afanye nini zaidi ya kukutana na marafiki na kunywa bia?, Kwa wale wenye uwezo watasafiri na wengine baharini, vijana wengine wanakwenda mikoa ya karibu na macoaster kupiga game, wapo jamaa zangu ni marider jana jioni bike zimeelekea Arusha, Jpili wanageuka.
Kila mtu yupo huru kuchagua anachokipenda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…