Kilimbatzz
JF-Expert Member
- Feb 11, 2023
- 9,134
- 14,593
AaaahaaaaIngekuwa hizo hela ni kitu basi TEC wangeufyata kwa Serikali, pamoja na hiyo ruzuku bado TEC wanaibwekea Serikali ndo ujiulize sasa hao TEC wanajivunia nini? BAKWATA kujengewa msikiti tu wameufyata
Mkataba au Memorandum of Understanding kati ya TEC na Serikali unawapa TEC 36 Billion kila mwezi. Nusu ya pesa hizi zinatumika kulipia mishahara na starehe za hawa Ma padre kuji mwambafai.
Hawa wajinga wamechanganyikiwa, Bugando ni taasisi kubwa inaweza kufanya kazi bila ya serikali na ilikuwepo hata kabla ya uhuruAcheni kutapatapa kama kuku aliyekatwa kichwa maamuzi yashatolewa kilichobaki ni matekelezo tu, shenzi sana mnataka kutuuza, swaini!
Mkataba wa Milele ni huu wa Serukali na Kanisa.
Haujukikani utaisha lini.
Kauli zako unazitoa kwa jazba km unaongea na mke mwenza.Kwani hizo 36B wanapewa bure? Soma MOU vizuri ,wakati wakristo wanajenga Shule ,Hospitali nyinyi mlikuwa mnaomba misada kwa waarabu wawachimbie visima na kujenga mdrasa tu ,serikali ikawa haina hospital ndipo MOU ikaingia hapo na kama mnaona wivu waambie serikali wavunje mkataba huo mpewe nyinyi kina BAKWATA.
Swali mbona lipo wazi sihitaji maelezo.Unajua Sadaka za kila Jumapili TEC wanakusanya Tsh ngapi? Je Shule na Hospital ambazo serikali inazitumia TEC walipata wapi fedha kujenga? Unadhani Serikali wajinga wanvyotoa hizo pesa kuwapa TEC? Kama mnaona TEC wanafahidi waambie BAKWATA wajenge hospital wawe wanapewa wao hizo 36B.
Hivi wakati maaskofu wao walipokea hela za rushwa kutoka pesa za ESCROW waliwahi kuwajibika kimaadili? Waliwahi kusema lolote?Waambie BAKWATA wajenge hospital ili hizo 36B mpewe nyinyi wavaa kobazi.
Kauli zako unazitoa kwa jazba km unaongea na mke mwenza.
Mtoa uzi ameshauri serikali ifute huo mkataba na TEC sababu pesa zinazotolewa hazionyeshwi matumizi yake kwa ummah.
Hio MOI imejengwa leo?
Na je ni Hospital ya Bure?
Inawafaa wakristo kuliko raia wengine sababu ukienda na barua ya padri. Na hakuna Sheikh wala Asiekuwa mgalatia anatambulika kwenye Hospital hizo
Wewe na jazba zako unaona ni sawa?
Acha kupiga kelele.
Andika hoja usomeke
Hawa wanafiki hili wanajifanya hawalioni wagalatia nuksi sana.Mkataba wa Milele ni huu wa Serukali na Kanisa.
Haujukikani utaisha lini.
Hivi wakati maaskofu wao walipokea hela za rushwa kutoka pesa za ESCROW waliwahi kuwajibika kimaadili? Waliwahi kusema lolote?
Wanazo??Kwani umekatazwa kwenda hospital za Bakwata?
Tatizo sio kama zinafanya kazi au la.Tatizo ni wanachi walishirikishwa kwenye kutoa mawazo kwenye hiyo MoU?You cannot have it both ways.Ukihoji sawa ukihojiwa kuja na visingizio na kuitaja BAKWATA.BAKWATA haihusiki hapa.Acha wivu ,hivi kuna fedha ya serikali inayotolewa bila kufanyiwa ukaguzi? kama unaona TEC wanafahidi waambie BAKATWA wapeleke hospital zao wachukue wao hizo 36B.
"Hospitali nyingi nzuri ni za Misheni" - Wagosi wa Kaya - Wauguzi
Wagalatia bana upo radhi useme uongo alimradi unatetea maparoko.Acha wivu ,hivi kuna fedha ya serikali inayotolewa bila kufanyiwa ukaguzi? kama unaona TEC wanafahidi waambie BAKATWA wapeleke hospital zao wachukue wao hizo 36B.
"Hospitali nyingi nzuri ni za Misheni" - Wagosi wa Kaya - Wauguzi
πππππππ umeona eeh yani watakufa na vijiba vya roho MOU haivunjwi ng'oWanazo??
Sadaka zenyewe misikitini wanatoa mia mbili miambili kama nauli za wanafunzi hivi mnaweza kujenga hata chuo ukiacha Kila mlicho gawiwa Cha tanesco pale morogoro?Wanaukumbi.
Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo zinatumika kuipinga serikali na kueneza Injili.
Hili halikubaliki lazima li stop na mkataba huu uvunjwe.
Nchi hii sio mali ya Wakristo kuwa kodi zetu wapewe kundi fulani kujitanua.
Serikali huu mkataba ufutwe.
Mmewalea sana hawa TEC mbali ya 36billion huingiza mamia ya bidhaa kwa misamaha ya kodi na kuuzwa makanisani.
Ni wakati hii dhulma ikaondolewa.
Huo mkataba lini wananchi walishirikishwa na hauna kikomo.
Halafu wanakujawaislam na unafiki ni dam dam , badala mjenge mahospital nyie mnauza bandari , hv mna akili kwel ?