Bandari za Zenji zimeuzwa na WAZenji wenyewe, Kama wanaridhika ama la hiyo inaweza isiwahusu sana Watanganyika. At the same Wazanzibar hao hao wanauza bandari za Tanganyika Kwa watu ambao Zanzibar Wana vinasaba nao na ambao Watanganyika inaonekana hawaaminiki waarabu kuwakabidhi Mali yao. Kama wanzibar wanawaamini wafaransa ni haki yao but Watanganyika hawako comfortable na hii issue.n
Unajua kuwa bandari ya zanzibar pia imetelekezwa kwa wafaransa? Wangapi wenu kati yenu nyinyi wadanganyika mnalijua hili?
VIDEO: Lukuvi akieleza hadharani kwanini Tanganyika inaikalia ZanzibarMiongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
---
MAONI YA WADAU
Ukiacha hizi sifa za kisiasa pekee wewe unaona Zanzibar Kuna kitu Gani Cha maana ambacho Tanganyika inakihitaji? Kiinchi chenyewe hata Jimbo la Buchosa Lina nafuu, Kuna Nini Tanganyika inapata Kwa Zanzibar kutokuwa na passport yake?Acheni ZANZIPHOBIA hiyo. Kisa ni mzanzibari kuwa rais wa Jamuhuri. Kwanini mnawafurahia wazanzibari wakati mnayoihitaji ya kwenu tu? Mlipotaka kuunyanisha vyama wazanzibari walikuwa waungwana na wanaofaa. Mlipotaka kuunyanisha nchi mbili wazanzibari walikuwa waungwana kwenu. Mlipotaka kuondoa passport wazanzibari walikuwa waungwana kwenu. Leo mzanzibari kawa mkuu wa nchi mnaona hastahiki. Kama mmeshakuwa kweli wazalendo wa tanganyika yenu...the way is simple...UNION REFERENDUM...Kama hilo ni gumu kwenu, please let things go.
Zanzibar niUkiacha hizi sifa za kisiasa pekee wewe unaona Zanzibar Kuna kitu Gani Cha maana ambacho Tanganyika inakihitaji? Kiinchi chenyewe hata Jimbo la Buchosa Lina nafuu, Kuna Nini Tanganyika inapata Kwa Zanzibar kutokuwa na passport yake?
But wanavyodengua utadhani labda Tanganyika hawawezi kula bila ya Zanzibar. Na utadhani wakiwa nje ya muungano na Tanganyika wataneemeka Hadi wahamie mbinguni in two years.Zanzibar ni
Muhimu kwa usalama wetu, uliza mtu yoyote wa Usalama atakwambia huwezi acha kisiwa karibu na ardhi yako
Huu ubaguzi umezaliwa enzi za Samia, akiondoka akaja wa huku kwetu bara tutasahau kabisa mambo ya sheria na katiba. Ndio unafiki wetu ulivyo wa kiwango cha kimataifa...mambo hayaendi hivyo.
..kama kifungu cha katiba au sheria kinasababisha mkwamo fulani hatua sahihi ni kukibadilisha.
..Huwezi kusema Charles Hillary ana kipaji cha utangazaji hivyo asifuate sheria.
..Kila Mtanganyika na Mzanzibari anapaswa kufuata sheria.
Ni hivi hata kama angekuwa mzuri kiasi gani, jamii inapokosa imani hakuna uzuri tenaVote of confidence ni ubaguzi tu wa wachache. Hao marais wanaomteua awasaidie wanaujua uwezo wake kuliko sisi tunaotoa maoni tukisubiri tukio litokee kwanza.
Tatizo unaweza kutumia wingi wa kauli kuonyesha kuungwa mkono halafu mkawa ni watu mia tu!.Ni hivi hata kama angekuwa mzuri kiasi gani, jamii inapokosa imani hakuna uzuri tena
Mbarawa hana vote of confidence ya Watanganyika. Ili kumaliza mjadala na kumweka Rais katika nafasi isiyo na utata, Makame Mbarawa AJIUZULU. Hii si nafasi ya muungano na hatuna upungufu wa Watu kuijaza.
Hivi Ubaguzi upo wapi? Wazanzibar wanalalamika kuwa mambo ya muungano yameongezwa hadi 32Kinachoongelewa kinaweza kupambwa kwa lugha nzuri sana lakini ni ubaguzi unaofichwa kwa maneno matamu.
Vipi huyo Mbarawa kama angekuwa ni mtendaji mzuri katika hizo wizara, hizo fikra za kibaguzi zingezaliwa?, kuna mtu angekumbuka kuwa ni mzenji?.
Tutatue matatizo yetu bila ya kuitazama asili ya mtu. Ukibagua mtu leo ujiandae kesho kukabiliana na ubaguzi huo huo.
Ndio maana tunawaambiwa kwamba hatuna imani naye. Hatuhoji uwezo wake. Tunachosema hapa ni kwamba rasilimali za Tanganyika zijadiliwe na kusainiwa na watu wenye chuki dhidi ya Tanganyika, hapana!Tatizo unaweza kutumia wingi wa kauli kuonyesha kuungwa mkono halafu mkawa ni watu mia tu!.
Wanaompa kazi Mbarawa labda hawajaona huo udhaifu wake na wanayajua mengi mema ya ufanisi wake, hizi zinaweza kuwa
Hatuna imani na Mbarawa kwasababu AH Mwinyi aliuza Loliondo na kasema anajuta.ni jitihada sawa na kupanga rangi hewani.
Huu ubaguzi umezaliwa enzi za Samia, akiondoka akaja wa huku kwetu bara tutasahau kabisa mambo ya sheria na katiba. Ndio unafiki wetu ulivyo wa kiwango cha kimataifa.
Mwalimu aliunganisha udongo wa bara na visiwani, alichokifanya ni zaidi ya vifungu vyote vya sheria na katiba, ni suala la ubinadamu zaidi.
Mengi uliyoandika yana msingi wa maneno ya kusikia kwa watu, ambao ni kielelezo cha chuki unayoitunza moyoni mwako.Hivi Ubaguzi upo wapi? Wazanzibar wanalalamika kuwa mambo ya muungano yameongezwa hadi 32
Wazanzibar hawawezi kuajiri Mtanganyika hata mfagiaji.
Huu ubaguzi mbona ni wa upande mmoja?
Ali Salehe wa ACT aliposimama na kusema ana furaha Mradi wa Bagamoyo umekufa, hilo unalionaje
Halafu hawa wenye chuki ndio wa kusaini mikataba ya 'nia' njema na Tanganyika
Kujiita Mzanzibar na si Mtanzania huo si ubaguzi, kujiita Mtanganyika ni ubaguzi. hee!
Lakini si ubaguzi ni ukweli. Kwamba hakuna Mtanganyika anayeweza kusimamia rasilimali za Zanzibar
Hivi si Wazanzibar waliondoa mafuta na gesi , wakaondoa Bandari kinyamela. Huo si ubaguzi!
Wazanzibar walioondoa gesi na mafuta walilinda rasilimali zao , huo unaona si ubaguzi.
Watanganyika kukumbuka Mwinyi alivyouza Liliondo kwa Waarabu na sasa wanauziwa bandari eti ni ubaguzi
Watanganyika wanapoona rasilimali zao zinasaiiniwa na Wazanzibar wale wale waliouza Liliondo kuna shida gani wao kusema. Hii si wizara ya muungano, hakuna ubaguzi.
Mbarawa ni wakati AJIUZULU sasa, Watanganyika hawana imani nawe katika mkataba wa Bandari
Katiba ipi imevunjwa?. Nongwa zile zile za vijiweni. Usimtazame Samia kama Samia mtazame kama kiongozi wa JMT...Katiba imeelekeza haki za Watanganyika na Wazanzibari ktk muungano.
..Sasa Samia akikiuka Katiba ni sahihi kumkumbusha.
..Na Raisi akitoka Tanganyika akikiuka Katiba ni sahihi kumkumbusha.
..Mwalimu na Karume walichanganya udongo lakini waliona jambo hilo halitoshi wakaandika KATIBA iliyobainisha mambo ya muungano, ya Tanganyika, na ya Zanzibar.
..Huwezi kuvunja katiba na sheria halafu ukajitetea kwamba umefanya hivyo kwasababu Mwalimu na Karume walichanganya UDONGO.
Katiba ipi imevunjwa?. Nongwa zile zile za vijiweni.
Wazanzibar wapo bungeni pale Dodoma na sio mmoja wapo wengi tu, kuna kosa kuteua mmoja wao na kumpa uwaziri huku Tanganyika?...kuteua Mzanzibari kuongoza wizara isiyo ya muungano ni kuvunja katiba.
..wewe ndio unaleta mzaha kwamba kuchanganya udongo ni zaidi ya Katiba.
Zanzibar wanao mpango wa kujenga bandari kubwa zaidi ya Mangapwani, ni kijiji cha bandari kwa mujibu wa Rais Mwinyi.Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.
Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?
Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.
Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World
---
MAONI YA WADAU
Point ya rasilimali za Tanganyika haina mashiko, huyo Mbarawa katimiza miradi mingapi huku bara?, Mbona huyo haiongelewi?. Hiyo miradi aliyoimaliza na sasa inahudumia wananchi sio sehemu ya rasilimali za taifa hili?. Chuki na roho mbaya ni tatizo linaloitesa Tanzania ya leo hii.Ndio maana tunawaambiwa kwamba hatuna imani naye. Hatuhoji uwezo wake. Tunachosema hapa ni kwamba rasilimali za Tanganyika zijadiliwe na kusainiwa na watu wenye chuki dhidi ya Tanganyika, hapana!
Hatuna imani na Mbarawa kwasababu AH Mwinyi aliuza Loliondo na kasema anajuta.
Well, kama ni wau 100 mbona wanajibu ha ha ha
Mbarawa huna vote of confidence, tafadhali JIUZULU. Chochote kitakachofuata kikiwa na dosari wewe utamweka rais pabaya sana ingawa hata sasa haionekani njema. Jiuzulu Mbarawa
Wewe nawe Kumbe Bure sana, Kwa hiyo kama katimiza miradi yenye maana ndo iwe ticketi yake kufanya jambo jingine lolote hata kama watu Wana shaka nalo? Na after all what is so special Kwa Mbawara kwamba hayo mazuri angekuwa mwingine asingeyafanya na bado asituletee upuuzi kama huu?Point ya rasilimali za Tanganyika haina mashiko, huyo Mbarawa katimiza miradi mingapi huku bara?, Mbona huyo haiongelewi?. Hiyo miradi aliyoimaliza na sasa inahudumia wananchi sio sehemu ya rasilimali za taifa hili?. Chuki na roho mbaya ni tatizo linaloitesa Tanzania ya leo hii.
Wanaomteua kumpa vyeo na kumlipa mshahara ni mpaka watakapochoka au kumuona hafai ndio wataamua kuachana nae, sio kwa hizi hoja nyepesi za jukwaa hili.
Tofauti yangu na baadhi ya watu humu ni huo unaoitwa upuuzi. Hauwezi kuelezewa kwa hoja zenye mantiki na ukaeleweka.Wewe nawe Kumbe Bure sana, Kwa hiyo kama katimiza miradi yenye maana ndo iwe ticketi yake kufanya jambo jingine lolote hata kama watu Wana shaka nalo? Na after all what is so special Kwa Mbawara kwamba hayo mazuri angekuwa mwingine asingeyafanya na bado asituletee upuuzi kama huu?