Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar
......akasema ati hapo awali eneo lote hili la Tanganyika mpaka Beira na Mombasa ilikuwa ni sehemu ya Zanzibar,akasema insha alah siku moja zitarudi mikononi mwetu,akanyanyua kikombe cha gahwa akapiga fundo na kukohoa ki Oman Oman,aha ahaa alhamdulilah.........
 
n

Unajua kuwa bandari ya zanzibar pia imetelekezwa kwa wafaransa? Wangapi wenu kati yenu nyinyi wadanganyika mnalijua hili?
Bandari za Zenji zimeuzwa na WAZenji wenyewe, Kama wanaridhika ama la hiyo inaweza isiwahusu sana Watanganyika. At the same Wazanzibar hao hao wanauza bandari za Tanganyika Kwa watu ambao Zanzibar Wana vinasaba nao na ambao Watanganyika inaonekana hawaaminiki waarabu kuwakabidhi Mali yao. Kama wanzibar wanawaamini wafaransa ni haki yao but Watanganyika hawako comfortable na hii issue.
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

---
MAONI YA WADAU
VIDEO: Lukuvi akieleza hadharani kwanini Tanganyika inaikalia Zanzibar

Hizo zote ni gharama tunazolipia kwaajili ya Usalama wa TANGANYIKA
 
Acheni ZANZIPHOBIA hiyo. Kisa ni mzanzibari kuwa rais wa Jamuhuri. Kwanini mnawafurahia wazanzibari wakati mnayoihitaji ya kwenu tu? Mlipotaka kuunyanisha vyama wazanzibari walikuwa waungwana na wanaofaa. Mlipotaka kuunyanisha nchi mbili wazanzibari walikuwa waungwana kwenu. Mlipotaka kuondoa passport wazanzibari walikuwa waungwana kwenu. Leo mzanzibari kawa mkuu wa nchi mnaona hastahiki. Kama mmeshakuwa kweli wazalendo wa tanganyika yenu...the way is simple...UNION REFERENDUM...Kama hilo ni gumu kwenu, please let things go.
Ukiacha hizi sifa za kisiasa pekee wewe unaona Zanzibar Kuna kitu Gani Cha maana ambacho Tanganyika inakihitaji? Kiinchi chenyewe hata Jimbo la Buchosa Lina nafuu, Kuna Nini Tanganyika inapata Kwa Zanzibar kutokuwa na passport yake?
 
Zanzibar ni
Muhimu kwa usalama wetu, uliza mtu yoyote wa Usalama atakwambia huwezi acha kisiwa karibu na ardhi yako
 
But wanavyodengua utadhani labda Tanganyika hawawezi kula bila ya Zanzibar. Na utadhani wakiwa nje ya muungano na Tanganyika wataneemeka Hadi wahamie mbinguni in two years.
 
..mambo hayaendi hivyo.

..kama kifungu cha katiba au sheria kinasababisha mkwamo fulani hatua sahihi ni kukibadilisha.

..Huwezi kusema Charles Hillary ana kipaji cha utangazaji hivyo asifuate sheria.

..Kila Mtanganyika na Mzanzibari anapaswa kufuata sheria.
Huu ubaguzi umezaliwa enzi za Samia, akiondoka akaja wa huku kwetu bara tutasahau kabisa mambo ya sheria na katiba. Ndio unafiki wetu ulivyo wa kiwango cha kimataifa.

Mwalimu aliunganisha udongo wa bara na visiwani, alichokifanya ni zaidi ya vifungu vyote vya sheria na katiba, ni suala la ubinadamu zaidi.
 
Vote of confidence ni ubaguzi tu wa wachache. Hao marais wanaomteua awasaidie wanaujua uwezo wake kuliko sisi tunaotoa maoni tukisubiri tukio litokee kwanza.
Ni hivi hata kama angekuwa mzuri kiasi gani, jamii inapokosa imani hakuna uzuri tena
Mbarawa hana vote of confidence ya Watanganyika. Ili kumaliza mjadala na kumweka Rais katika nafasi isiyo na utata, Makame Mbarawa AJIUZULU. Hii si nafasi ya muungano na hatuna upungufu wa Watu kuijaza.
 
Tatizo unaweza kutumia wingi wa kauli kuonyesha kuungwa mkono halafu mkawa ni watu mia tu!.

Wanaompa kazi Mbarawa labda hawajaona huo udhaifu wake na wanayajua mengi mema ya ufanisi wake, hizi zinaweza kuwa ni jitihada sawa na kupanga rangi hewani.
 
Kinachoongelewa kinaweza kupambwa kwa lugha nzuri sana lakini ni ubaguzi unaofichwa kwa maneno matamu.

Vipi huyo Mbarawa kama angekuwa ni mtendaji mzuri katika hizo wizara, hizo fikra za kibaguzi zingezaliwa?, kuna mtu angekumbuka kuwa ni mzenji?.

Tutatue matatizo yetu bila ya kuitazama asili ya mtu. Ukibagua mtu leo ujiandae kesho kukabiliana na ubaguzi huo huo.
Hivi Ubaguzi upo wapi? Wazanzibar wanalalamika kuwa mambo ya muungano yameongezwa hadi 32
Wazanzibar hawawezi kuajiri Mtanganyika hata mfagiaji.
Huu ubaguzi mbona ni wa upande mmoja?

Ali Salehe wa ACT aliposimama na kusema ana furaha Mradi wa Bagamoyo umekufa, hilo unalionaje
Halafu hawa wenye chuki ndio wa kusaini mikataba ya 'nia' njema na Tanganyika

Kujiita Mzanzibar na si Mtanzania huo si ubaguzi, kujiita Mtanganyika ni ubaguzi. hee!

Lakini si ubaguzi ni ukweli. Kwamba hakuna Mtanganyika anayeweza kusimamia rasilimali za Zanzibar
Hivi si Wazanzibar waliondoa mafuta na gesi , wakaondoa Bandari kinyamela. Huo si ubaguzi!

Wazanzibar walioondoa gesi na mafuta walilinda rasilimali zao , huo unaona si ubaguzi.
Watanganyika kukumbuka Mwinyi alivyouza Liliondo kwa Waarabu na sasa wanauziwa bandari eti ni ubaguzi

Watanganyika wanapoona rasilimali zao zinasaiiniwa na Wazanzibar wale wale waliouza Liliondo kuna shida gani wao kusema. Hii si wizara ya muungano, hakuna ubaguzi.

Mbarawa ni wakati AJIUZULU sasa, Watanganyika hawana imani nawe katika mkataba wa Bandari
 
Tatizo unaweza kutumia wingi wa kauli kuonyesha kuungwa mkono halafu mkawa ni watu mia tu!.

Wanaompa kazi Mbarawa labda hawajaona huo udhaifu wake na wanayajua mengi mema ya ufanisi wake, hizi zinaweza kuwa
Ndio maana tunawaambiwa kwamba hatuna imani naye. Hatuhoji uwezo wake. Tunachosema hapa ni kwamba rasilimali za Tanganyika zijadiliwe na kusainiwa na watu wenye chuki dhidi ya Tanganyika, hapana!
ni jitihada sawa na kupanga rangi hewani.
Hatuna imani na Mbarawa kwasababu AH Mwinyi aliuza Loliondo na kasema anajuta.
Well, kama ni wau 100 mbona wanajibu ha ha ha

Mbarawa huna vote of confidence, tafadhali JIUZULU. Chochote kitakachofuata kikiwa na dosari wewe utamweka rais pabaya sana ingawa hata sasa haionekani njema. Jiuzulu Mbarawa
 
Huu ubaguzi umezaliwa enzi za Samia, akiondoka akaja wa huku kwetu bara tutasahau kabisa mambo ya sheria na katiba. Ndio unafiki wetu ulivyo wa kiwango cha kimataifa.

Mwalimu aliunganisha udongo wa bara na visiwani, alichokifanya ni zaidi ya vifungu vyote vya sheria na katiba, ni suala la ubinadamu zaidi.

..Katiba imeelekeza haki za Watanganyika na Wazanzibari ktk muungano.

..Sasa Samia akikiuka Katiba ni sahihi kumkumbusha.

..Na Raisi akitoka Tanganyika akikiuka Katiba ni sahihi kumkumbusha.

..Mwalimu na Karume walichanganya udongo lakini waliona jambo hilo halitoshi wakaandika KATIBA iliyobainisha mambo ya muungano, ya Tanganyika, na ya Zanzibar.

..Huwezi kuvunja katiba na sheria halafu ukajitetea kwamba umefanya hivyo kwasababu Mwalimu na Karume walichanganya UDONGO.
 
Hivi Ubaguzi upo wapi? Wazanzibar wanalalamika kuwa mambo ya muungano yameongezwa hadi 32
Wazanzibar hawawezi kuajiri Mtanganyika hata mfagiaji.
Huu ubaguzi mbona ni wa upande mmoja?

Ali Salehe wa ACT aliposimama na kusema ana furaha Mradi wa Bagamoyo umekufa, hilo unalionaje
Halafu hawa wenye chuki ndio wa kusaini mikataba ya 'nia' njema na Tanganyika

Kujiita Mzanzibar na si Mtanzania huo si ubaguzi, kujiita Mtanganyika ni ubaguzi. hee!

Lakini si ubaguzi ni ukweli. Kwamba hakuna Mtanganyika anayeweza kusimamia rasilimali za Zanzibar
Hivi si Wazanzibar waliondoa mafuta na gesi , wakaondoa Bandari kinyamela. Huo si ubaguzi!

Wazanzibar walioondoa gesi na mafuta walilinda rasilimali zao , huo unaona si ubaguzi.
Watanganyika kukumbuka Mwinyi alivyouza Liliondo kwa Waarabu na sasa wanauziwa bandari eti ni ubaguzi

Watanganyika wanapoona rasilimali zao zinasaiiniwa na Wazanzibar wale wale waliouza Liliondo kuna shida gani wao kusema. Hii si wizara ya muungano, hakuna ubaguzi.

Mbarawa ni wakati AJIUZULU sasa, Watanganyika hawana imani nawe katika mkataba wa Bandari
Mengi uliyoandika yana msingi wa maneno ya kusikia kwa watu, ambao ni kielelezo cha chuki unayoitunza moyoni mwako.

Vipi kuhusu wizi anaoibua CAG kila siku na wenyewe unawahusu wazanzibari?, tunasahau kuwa huku bara tuna kesi zetu za wizi na ushahidi halisi anauweka wazi CAG kila siku.

Hao wazanzibar wanaosaini na bandari wapo pale kikatiba hawajajiweka mahali pale. SSH ni mgombea mwenza wa JPM na iwapo asingefariki mpaka leo angekuwa na cheo chake kile kile.

Huu ni muungano halisi ambao Mwalimu Nyerere aliunganisha udongo wa pande mbili, matatizo yote ya kikatiba yanaongeleka na kutatulika.

Tuachane na hizi nongwa kwamba eti SSH anasaini mkataba mkubwa wa nchi akiwa mzanzibari, huyo ni rais wa awamu ya sita hasaini pale kama mtu tu baki.

Tujadili masuala positive yenye kujenga nchi sio hizi chuki na nongwa zinazojaa mioyoni na kuanza kuonekana muda huu. Huyo Mbarawa leo anaonekana mbaya vipi kuhusu miradi mingi aliyoifanikisha wakati wa JPM?.

Vipi kuhusu ufanisi wake wa kazi uliompa ubunge na uwaziri?, Tuache kufuga chuki na ubaguzi vitakuja kutugeuka siku moja.
 
..Katiba imeelekeza haki za Watanganyika na Wazanzibari ktk muungano.

..Sasa Samia akikiuka Katiba ni sahihi kumkumbusha.

..Na Raisi akitoka Tanganyika akikiuka Katiba ni sahihi kumkumbusha.

..Mwalimu na Karume walichanganya udongo lakini waliona jambo hilo halitoshi wakaandika KATIBA iliyobainisha mambo ya muungano, ya Tanganyika, na ya Zanzibar.

..Huwezi kuvunja katiba na sheria halafu ukajitetea kwamba umefanya hivyo kwasababu Mwalimu na Karume walichanganya UDONGO.
Katiba ipi imevunjwa?. Nongwa zile zile za vijiweni. Usimtazame Samia kama Samia mtazame kama kiongozi wa JMT.
 
..kuteua Mzanzibari kuongoza wizara isiyo ya muungano ni kuvunja katiba.

..wewe ndio unaleta mzaha kwamba kuchanganya udongo ni zaidi ya Katiba.
Wazanzibar wapo bungeni pale Dodoma na sio mmoja wapo wengi tu, kuna kosa kuteua mmoja wao na kumpa uwaziri huku Tanganyika?.

Kuchanganya udongo sio mzaha, labda kwa sababu sisi ni watanzania wa leo hivyo hatuwezi kuona maana ya kitendo kile.
 
Miongoni mwa siri zilizofichuliwa leo kuhusu Mkataba wa kuiuzia kampuni ya Waarabu Bandari za Tanzania, imo habari kwamba Bandari zitakazohusika ni zile za Tanganyika Pekee, za Zanzibar hazitahusika.

Ikumbukwe kwamba Bandari ni miongoni mwa mambo ya Muungano, ikiwa kama jambo hili lina faida kwanini tunaitenga Zanzibar. Je, Wazanzibar hawataki faida?

Bali kitu pekee ambacho tumekiona ni kwamba Waziri Aliyesaini Mkataba huu anayeitwa Makame Mbarawa anatokea upande wa Zanzibar kama alivyo Rais Samia Suluhu Hassan.

Pia soma > Dodoma: Bunge lapitisha azimio la kuunga mkono mkataba wa Tanzania na DP World

---
MAONI YA WADAU
Zanzibar wanao mpango wa kujenga bandari kubwa zaidi ya Mangapwani, ni kijiji cha bandari kwa mujibu wa Rais Mwinyi.

Tukumbuke kuwa msingi wa DP World kupewa biashara ulianzishwa na hayati JPM mwaka 2015 alipoanza kujenga SGR lengo ni kujiweka tayari kwa mizigo ya DRC na Rwanda. Haya ni mambo yaliyopangwa na kufanyika kwa mkakati wa muda mrefu.

Hivyo haya maneno ya kwanini Zanzibar bandari yao haihusiani na hii biashara ni ya kizandiki tu. Ni chuki nyepesi za mitandaoni.
 
Ndio maana tunawaambiwa kwamba hatuna imani naye. Hatuhoji uwezo wake. Tunachosema hapa ni kwamba rasilimali za Tanganyika zijadiliwe na kusainiwa na watu wenye chuki dhidi ya Tanganyika, hapana!

Hatuna imani na Mbarawa kwasababu AH Mwinyi aliuza Loliondo na kasema anajuta.
Well, kama ni wau 100 mbona wanajibu ha ha ha

Mbarawa huna vote of confidence, tafadhali JIUZULU. Chochote kitakachofuata kikiwa na dosari wewe utamweka rais pabaya sana ingawa hata sasa haionekani njema. Jiuzulu Mbarawa
Point ya rasilimali za Tanganyika haina mashiko, huyo Mbarawa katimiza miradi mingapi huku bara?, Mbona huyo haiongelewi?. Hiyo miradi aliyoimaliza na sasa inahudumia wananchi sio sehemu ya rasilimali za taifa hili?. Chuki na roho mbaya ni tatizo linaloitesa Tanzania ya leo hii.

Wanaomteua kumpa vyeo na kumlipa mshahara ni mpaka watakapochoka au kumuona hafai ndio wataamua kuachana nae, sio kwa hizi hoja nyepesi za jukwaa hili.
 
Wewe nawe Kumbe Bure sana, Kwa hiyo kama katimiza miradi yenye maana ndo iwe ticketi yake kufanya jambo jingine lolote hata kama watu Wana shaka nalo? Na after all what is so special Kwa Mbawara kwamba hayo mazuri angekuwa mwingine asingeyafanya na bado asituletee upuuzi kama huu?
 
Tofauti yangu na baadhi ya watu humu ni huo unaoitwa upuuzi. Hauwezi kuelezewa kwa hoja zenye mantiki na ukaeleweka.

Huo unaoitwa upuuzi ni mradi ulioanza kutafutwa na serikali tangu 2015 mwishoni enzi za urais wa JPM, ni mkakati mpana sana wa kuipeleka nchi katika uchumi wa juu.

Hivyo namtetea Mbarawa kwani sioni mantiki ya yeye kuondolewa kazini zaidi ya chuki tu na roho zetu za kishenzi.
 
Back
Top Bottom