Tulilisema hili ktk ule Uzi wa DP world update wakaufunga Uzi hapo hapo.
 
Ungeweka option ya POLL pale juu,ili iwe rahisi kupiga kura.
 
Kuna JF member mmoja anakusagia kunguni sana.

Mie nakubaliana na hii hoja yako.

Haujawahi kutuangusha
 
Sawa. Mikataba iboreshwe. Kwani mtu unapojiunga whazup au apps nyingine zinazofanana na hizo,kuna mlolongo wa mkataba pale wewe unabonyeza tu next and I agree. Mbona haijawahi kuzingua? Ukimchunguza Sana bata nyama yake huli.

Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…