mtwa mkulu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2013
- 8,586
- 11,227
Kura yangu : hapana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA TENANAKAZIA
NAKAZIA TENA NA TENANAKAZIA TENA
Naendelea KUKAZIANAKAZIA TENA NA TENA
NASISITIZA ZAIDINaendelea KUKAZIA
Kuna watu watasema GENTAMYCINE nae yupo Dubai anapiga shopping na akina Maulid kitenge 🤣🤣Kimaendeleo na Kiajira leo natamka rasmi kuwa Mimi sasa ni TEAM DP WORLD WAWEKEZE Tanzania.
Wewe na kibibi wako FaizaFoxy mko ktk agano.Mimi sasa ni TEAM DP WORLD WAWEKEZE Tanzania
Piga kura mtumishiWewe na kibibi wako FaizaFoxy mko ktk agano.
Kuna JF member mmoja anakusagia kunguni sana.Wanaotaka DP World waje Kuwekeza Bandarini Tanzania tujuane na wale Wasiotaka Wawekeze wajuane pia.
Kuanza na Mimi GENTAMYCINE baada ya Kupima, Kusoma, kuufanyia Utafiti mdogo tu huku nikijiridhisha na Ufanisi wao na kwa Maendeleo chanya kwa Taifa Kiuchumi, Kimaendeleo na Kiajira leo natamka rasmi kuwa Mimi sasa ni TEAM DP WORLD WAWEKEZE Tanzania.
Naomba niwajue na Wenzangu pia. Na ukiona GENTAMYCINE nakubali Kitu jua kipo sahihi kwa 100% kwani Mwenyezi Mungu kanibariki na Maono makubwa, Hisia Kali na Utambuzi wa haraka hivyo DP World hawana baya wala tatizo tuwakaribisheni tu.
NimeshapigaPiga kura mtumishi
Unaogopa matusiKuna JF member mmoja anakusagia kunguni sana.
Mie nakubaliana na hii hoja yako.
Haujawahi kutuangusha
HakikaUngeweka option ya POLL pale juu,ili iwe rahisi kupiga kura.
Sawa. Mikataba iboreshwe. Kwani mtu unapojiunga whazup au apps nyingine zinazofanana na hizo,kuna mlolongo wa mkataba pale wewe unabonyeza tu next and I agree. Mbona haijawahi kuzingua? Ukimchunguza Sana bata nyama yake huli.Wanaotaka DP World waje Kuwekeza Bandarini Tanzania tujuane na wale Wasiotaka Wawekeze wajuane pia.
Kuanza na Mimi GENTAMYCINE baada ya Kupima, Kusoma, kuufanyia Utafiti mdogo tu huku nikijiridhisha na Ufanisi wao na kwa Maendeleo chanya kwa Taifa Kiuchumi, Kimaendeleo na Kiajira leo natamka rasmi kuwa Mimi sasa ni TEAM DP WORLD WAWEKEZE Tanzania.
Naomba niwajue na Wenzangu pia. Na ukiona GENTAMYCINE nakubali Kitu jua kipo sahihi kwa 100% kwani Mwenyezi Mungu kanibariki na Maono makubwa, Hisia Kali na Utambuzi wa haraka hivyo DP World hawana baya wala tatizo tuwakaribisheni tu.
Wametumwa haoTulilisema hili ktk ule Uzi wa DP world update wakaufunga Uzi hapo hapo.