Mkataba wa kuendesha Bandari za Tanzania wa DP WORLD ya Dubai hautazihusu Bandari za Zanzibar
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amehoji kwanini Bandari za Zanzibar hazimo Kwenye Mkataba wa Dubai

Mbowe amesema kama Mkataba ni Mzuri mbona Bandari za Zanzibar hazimo?

Source: Jambo TV

My take: Zanzibar ni nchi
Mbowe amemiss Segerea huyu si yuko kwenye maridhiano

USSR

Sent from my TECNO B1c using JamiiForums mobile app
 
Mbarawa sio waziri Zanzibar.

Zanzibar walishakabidhi airport kwa waarabu wa Dubai kitambo, na sasa mapato serikalini kutoka airport wanadai yameongezeka.
 
A very logical and concise arguement, hawa washezy toka Zenji wanakuja kutuuza utumwani halafu wao rasilimali zao wanazificha, hivy kuna haja ya kubaki na waziri kama huyo kweli? Auze na bandari Zanzibar tuone, mkataba si mzuri au?
 
Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amehoji kwanini Bandari za Zanzibar hazimo Kwenye Mkataba wa Dubai

Mbowe amesema kama Mkataba ni Mzuri mbona Bandari za Zanzibar hazimo?

Source: Jambo TV

My take: Zanzibar ni nchi
Bandari za Zanzibar nadhani kwa sababu ni ndogo na hazihudumii mizigo mingi kama za Tanzania Bara !!

Nakumbuka Rais Kagame alipata kusema anaweza kuendesha Nchi kwa kutumia mapato ya Bandari na Utalii tu !! 😅😅

Sijui alikuwa anakusudia Nchi ipi ya hapa Afrika mashariki !
 
Wazenjibia wanaiuza Tanganyika kwa waarabu hivi hivi,nchi ngumu sana hii
Hapana hawaiuzi kinachotafutwa nafikiri ni mapato mazuri na ufanisi wa hizo Bandari !!

Kama vile Wazungu wanavyofanya kwenye Klabu zao za Mpira !!
 
Mzee wetu Nyerere nitaendelea kumlaumu hadi kesho kutwa kwa huu upuuzi aliotuletea wa kuitwa muungano yani ni upuuzi upumbavu uwenda wazimu ukichaa na uchafu wa Kila namna
Hapo zamani kidogo wenzetu wa Zenji ndio waliokuwa wanaulaani huu muungano !

Sasa hivi imebadilika wabara ndio wanalalamika ! Kumbe kweli kulia ni kupokezana !
 
Itapendeza zaidi bandari iuze kabisa liwe ni pigo kichwani ili damu zitoke masikioni tujue vizuri kwamba huu muungano ni wa "chetu ni chao ila chao sio chetu".

Itapendeza Serengeti na Bagamoyo iwe sehemu ya Zanzibar, Ni ndugu zetu ehhh ?

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom