Mbowe amemiss Segerea huyu si yuko kwenye maridhianoMwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amehoji kwanini Bandari za Zanzibar hazimo Kwenye Mkataba wa Dubai
Mbowe amesema kama Mkataba ni Mzuri mbona Bandari za Zanzibar hazimo?
Source: Jambo TV
My take: Zanzibar ni nchi
Bandari za Zanzibar nadhani kwa sababu ni ndogo na hazihudumii mizigo mingi kama za Tanzania Bara !!Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe amehoji kwanini Bandari za Zanzibar hazimo Kwenye Mkataba wa Dubai
Mbowe amesema kama Mkataba ni Mzuri mbona Bandari za Zanzibar hazimo?
Source: Jambo TV
My take: Zanzibar ni nchi
Amkumbuke nani!Na bado Neno "mtanikumbuka" litapita Sana kwenye akili zetu WTZ
Hapana hawaiuzi kinachotafutwa nafikiri ni mapato mazuri na ufanisi wa hizo Bandari !!Wazenjibia wanaiuza Tanganyika kwa waarabu hivi hivi,nchi ngumu sana hii
Hapo zamani kidogo wenzetu wa Zenji ndio waliokuwa wanaulaani huu muungano !Mzee wetu Nyerere nitaendelea kumlaumu hadi kesho kutwa kwa huu upuuzi aliotuletea wa kuitwa muungano yani ni upuuzi upumbavu uwenda wazimu ukichaa na uchafu wa Kila namna
WtzAmkumbuke nani!