..Tunahitaji serikali ya TANGANYIKA.

..Kwa hali ilivyo sasa hivi Watanganyika hatuna mtetezi ktk serikali ya muungano.

..Rais ni Mzanzibari. Kateua Waziri Mzanzibari ambaye ameamua kuuza mali za Watanganyika.

..Makame Mbarawa ameteuliwa kimakosa kusimamia wizara isiyo na muungano.

Cc Nguruvi3
 
ZANZIBAR NI KAMA MKOA
 
Hii issue ya utanganyika imeibuka ghafla....kulikoni?
 
Maza anauza kila kitu upande wa bara
 
Mmoja alishapigaga bei Loliondo, wengine wanataka wamalizie na ngorongoro kabisa. tangu miaka ile tunapigania loliondo hadi leo mwarabu amefanya pale kwao tu. huu muungano unapaswa kufanyiwa tathmini haraka iwezekanavyo, na atakayefanya hilo ni CHADEMA, ccm wameshindwa na wana maslahi visiwani huwa wanapata kura kule ndio maana wanaushikilia. chadema huwa hamnaga kura kule, identify yourself na muikomboe Tanganyika muone kama hamtapata wafuasi wengi kuliko hata ccm. changamkeni.
 
Hii issue ya utanganyika imeibuka ghafla....kulikoni?

..ni kwasababu Watanganyika tuna tabia ya kulala usingizi tukidhani tuko salama ktk serikali ya muungano.

..hii sio mara ya kwanza Rais wa muungano toka Zanzibar kuteua Mzanzibar ktk wizara isiyo ya muungano, halafu waziri huyo kuanza kutenda ndivyo-sivyo.
 
Ziwa Victoria wachukue pia
 
Hapa Unguja bandari zetu zipo HURU na SALAMA karibuni wawekezaji
 

Attachments

  • CF26D075-2AA1-4E87-991A-6A39D3A60450.jpeg
    72.9 KB · Views: 5
  • 387261CA-E97D-48BE-83A2-4E3F571A2E05.png
    136.5 KB · Views: 7
Rais mstaafu Mwinyi, Rais Samia na Mbarawa wanahujumu Tanganyika!
Mwinyi aliuza Loliondo kwa Waarabu na Samia na Mbarawa wanauza bandari zetu kwa Waarabu, je ni nini kilicho nyuma ya pazia?

Wazanzibari wataimaliza Tanganyika kwa kuiuza kireja reja kwa Waarabu!
 
Si wanataka talaka na nyie hamtaki
 
Kwanza Zanzibar imekuka percentage nyingi sana kwenye mikopo na Hela zote zinalipwa na tanganyika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…